Kuchafuka

Tatizo ni namna unavyotembea au una ulemavu fulani wa miguu

Hebu niambie viatu vyako vinaishaje?????????
 
kwani? Wewe boy? Au binti? Mimi naona kama unatafuta mene mla mavi hivii!!!!!!
 
... kaa ndani usitoke nje... au nunua BMW X6...au hamia kwa Cameroon....
 
Kuna watu mabingwa wakujifagilia kwenye halaiki halafu wanakuwa wasahaulifu! Hawajuia kuna watu tuko very active ktk kulink information.

mkuu kumbe unamkumbuka huyu
 
daaaa pole uwe unapaa basi :flypig::flypig:
 
punguza kiwi nyingi kwenye viatu....
 
Inanipa tabu kidogo kuamini mtu na akili zako unaandika thread kama hii kuomba ushauri.

Au mkuu ulikua unataka kumalizia bundle yako ya MB50? Usije ukaona inaenda bure na muda umeisha.
 
Fanya moja ya yafuatayo..
1. Tembea kwenye lami tuu
2. Usitoke home, kaka hapo hapo tuu.
3. Nunua gari na usipaki kwenye vumbi...


 
inanipa tabu kidogo kuamini mtu na akili zako unaandika thread kama hii kuomba ushauri.

Au mkuu ulikua unataka kumalizia bundle yako ya mb50? Usije ukaona inaenda bure na muda umeisha.

kweli kabisa mkuu
 

Nunua gari ya kutembelea
 
Kanunue vitz au opa alafu ipige sports rim then utembee na ------ nakuhakikishia hautachafuka sharo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…