duh! huyo jamaa ni mkali kwa kweli,kashusha kimba lote hilo huku akiwa kavaa pensi?Kataa tuone.
Nalog off
funny and nastyyyy... Yuuckkkkk!! Hahah
du si atakonda, bila shaka amepungua uzito sana
Hhahahhaha jamaa kashusha bonge la mzigo
Eee bwana eee jamaa kashusha tani moja na nusu!!!!
Etiii haluli???mimi49 huijui haluli?
Kwani hilo neno haluli si kiswahili?Ndio haluli subiri nitafute kiswahili chake
.
Kwani hilo neno haluli si kiswahili?