Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Naomba niadd group la nyumbani tafadhali [emoji120][emoji120]Si uleft tu. Watu mmefungwa kisaikolojia na magroup. Nina magroup mawili tu la nyumbani na kazini. Basi.
Naomba niadd group la nyumbani tafadhali [emoji120][emoji120]Si uleft tu. Watu mmefungwa kisaikolojia na magroup. Nina magroup mawili tu la nyumbani na kazini. Basi.
Ooh kuna siku moja nimenunua demu nikakuta chupi yake ina hiyo logo nikatoka nduki. Kumbe nilikuwa sawa, huwenda mzigo ulikuwa umebebwa ndani ni hatari kwa afya.
Ilikuwa imevimba ngoja nitamtafuta tena.Ni hatari mkuu. Ungepiga picha ningekusaidia kujua hatari ambayo ungekumbana nayo
Ngw'aguku. Ukijibu nakuadd faster.Naomba niadd group la nyumbani tafadhali [emoji120][emoji120]
Ngw'aguku sikandinavia.Ngw'aguku. Ukijibu nakuadd faster.
Basi,umefail. Baki huko huko ute munhu u bhebhe.Ngw'aguku sikandinavia.
Hosa moni kya ndeseme.Basi,umefail. Baki huko huko ute munhu u bhebhe.
Ilikuwa imevimba ngoja nitamtafuta tena.
Basi,umefail. Baki huko huko ute munhu u bhebhe.
EminzaNgw'aguku. Ukijibu nakuadd faster.
Ha ha ha usalama unaupatia wapi kwa enzi hizi za 'intanet?'Ni salama tu mkuu
Wabheja sana ilombo lyaneBasi,umefail. Baki huko huko ute munhu u bhebhe.
Nafikiri ntakua a new member of the family group!Ngw'aguku. Ukijibu nakuadd faster.
Ukiya hide,watakuwa wanaona kuwa umepokea ujumbe?
Hiyo ni lugha mnazungumza na Huyo bintiHosa moni kya ndeseme.
Zuia au block notification zozote za mitandao mbali mbali ya kijamii kama WhatsApp, fb nk [emoji117][emoji117][emoji117]tanzama hii link
Aha upo magroup ya Jaguar?Naomba Msaada Kublock Post za Magroup ya Watsapp bile kuLeft
Nina Magroup mengi maudhui yakufanana ila member tofauti
Ni Muhimu kwa kipindi cha chaguzi ila sio kwa sasa yananilia MB tu
Namna ya kuzuia picha na video za WhatsApp zisijidownload zenyewe automatically maana zinafanya cm yako ijae na kumaliza mb zako bila ww kufahamu na kupenda tazama video hio link [emoji117][emoji117][emoji117]