hii function bado haipo wasap.Naomba Msaada Kublock Post za Magroup ya Watsapp bile kuLeft
Nina Magroup mengi maudhui yakufanana ila member tofauti
Ni Muhimu kwa kipindi cha chaguzi ila sio kwa sasa yananilia MB tu
Fanya ku mute hayo magroup
Au kama unatumia Gbwhatsapp kuna option ya kuhide chats
Hayo magrup hutoyaona hadi ufanye ku unhide tena
Ni salama tu mkuuHii gb WhatsApp ni salama mkuu..??? naomba unipe elimu kuihusu..
Ni salama tu mkuu
Naipataje kwenye play store siion
Mkuu huyo kamanda kwenye avatar yako ni nani? Naweza kumjua kidogo.
Mkuu huyo kamanda kwenye avatar yako ni nani? Naweza kumjua kidogo.
Ooh, nikipata siku moja muda nitamfuatilia.Huyo ni Capt Tom Chandler mkuu,kamanda mbabe sana kwenye series inaitwa The last ship.
Mkuu vipi na mm una kitu cha kuniuliza??Ooh, nikipata siku moja muda nitamfuatilia.
Hiyo Avatar yako ina maana gani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu vipi na mm una kitu cha kuniuliza??
[emoji23][emoji23][emoji23]hii function bado haipo wasap.
function ya ku mute inaondoa sauti (notification) na pop ups tu but message zitaendelea kuingia na ukifungua group utaziona.
pole!!
Ukiya hide,watakuwa wanaona kuwa umepokea ujumbe?Fanya ku mute hayo magroup
Au kama unatumia Gbwhatsapp kuna option ya kuhide chats
Hayo magrup hutoyaona hadi ufanye ku unhide tena
Hiyo Ni Hazard Chemical plate Simply Hazchem Plate.Hiyo Avatar yako ina maana gani?
Ooh kuna siku moja nimenunua demu nikakuta chupi yake ina hiyo logo nikatoka nduki. Kumbe nilikuwa sawa, huwenda mzigo ulikuwa umebebwa ndani ni hatari kwa afya.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo Ni Hazard Chemical plate Simply Hazchem Plate.
Hiyo ni Shipping Lebel ambayo inakuwa Attached kwenye Chombo kilichobeba Mzigo eg. Conteiner au Tanker ikiwa inatoa ujumbe wa Dangerous goods/ materials zilizopo, hatari zake, na namna ya kutreat in case of emergency.
Ova