singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kubenea atulie aangalie ni wapi alipojikwaa na aanze upya katika kusomea taaluma ya uandishi wa habari. Naamini hajaiva katika taaluma hiyo. He is not professional in journalism whether he agrees on what I say or not. Huwezi kuwa unamshambulia mtu mmoja tu kila toleo la gazeti lako hata kama ni kweli hicho unachokisema kina chembe fulani fulani za ukweli. Kwa kufanya hivyo it becomes that you bore your readers particularly when you are not objective kama nionavyo makala za kubenea through MAWIO and MWANAHALISI.
Alipoanza alikuwa makini sana katika gazeti la MWANAHALISI lakini mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Aliposifiwa sana kwa uandishi ule, kwa kuwa hana background ya taaluma hiyo ya uandishi murua wa habari, bichwa likajaa maji, akakengeuka, akaanza kubwabwaja kwa kumshambulia kila aliyemwona ni threat katika ndoto zake za kisiasa na hasa Zitto Kabwe. Akaanza kuandika hata uongo ili tu kutii kiu yake ya kutompenda Zitto Kabwe. Kwa kweli he is out of the trend that we expected from him.
Hata ile hali ya kutukanana matusi makubwa makubwa mbele ya hadhara na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Makonda, Paul, ilikuwa ni kukosa maadili ya mtu mwenye nafasi kama yake ya Ubunge maana imeonesha image yake kwenye public kwamba hawezi kukaa na kufikiria namna ya kutatua tatizo reasonably without unnecessarily attacking and/or abusing another person. Hata kama Makonda naye ana matatizo yake lakini ujue kuwa reasonable people might not note the difference between Makonda and Kubenea and that is how we have adjudicated/judged him.
Mbunge mzima unatukana hadharani na vyombo vya habari vinakurecord na wewe unaona normal tu unaendelea kuporomosha matusi ya aibu ili uonekane unajua kutukana hata DC wa Kinondoni, ni upuuzi huu na jamii yenye afya ya kufikiri vizuri ni lazima ijute kwa nini imempeleka Mbunge kama huyo bungeni maana hatakuwa na hoja ya maana kwa maana halisi ya uwakilishi uliotukuka Bungeni kwa wananchi wake. He might be correct on what he is complaining about but the ways he submits/presents his concerns are totally wrong! What kind of an MP is this? Lazima tumwambie ajirekebishe.
Uandishi wake wa awali wakati mwanahalisi linaanza ulikuwa mzuri sana lakini sivyo ulivyo sasa kwenye MAWIO na MWANAHALISI la sasa. Wengine hukua kitaaluma kwa kuboresha taaluma zao kwa kusonga mbele lakini yeye Kubenea anadumaa. Anarudi nyuma maana ametanguliza fitina na majungu ya kisiasa mbele kuliko kuthamini taaluma ya uandishi wa habari hata kama hana taaluma hiyo maana kama ni kweli huyu ni form four leaver tena failure.
Uliona wapi kidato cha nne anakuwa professional? Uandishi kwake ilikuwa ni talent and not profession lakini ameua kipaji chake sababu za wivu uso maana against Zitto and others anaowaona kama ni tishio kwa maslahi yake ya kisiasa. sasa amebaki KANJANJA!
LEONARD ELIAS MAGWAYEGA (aKa BOB LEO), Advocate.
chanzo wanabidii group