Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.
Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.
nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.
Tena mapema kabisa aombe radhi
Unaona aibu gani kujiita dodoma vijijini ?
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...
makonda ndio nani? ana nini cha kuombwa msamaha, kwangu mimi ninayeishi moshi au mwanza, makonda ananihusu nini hata kumsikia tu masikioni naona nimepoteza muda bora ningesikiliza hata muziki wa hiphop tu. zaidi ya yote, kulingana na historia ya maisha yake tangu aingine kwenye siasa, ningekuwa magufuli makonda angekuwa mtu wa kwanza kufuta kwenye ulimwengu wa siasa, nisimsikie kabisa. ni moja wapo wa watu ambao hata kamanilikuwa naangalia tv wakitokea nabadilisha channel haraka kwasababu sioni kama anastahili kuwepo pale alipo. hasa nikikumbuka kilichotokea siku ile kwa warioba, na uamfia wa aina hiyo alioufanya. pili, makonda mkuu wa wilaya na mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa tz hivi nani anastahili heshima?Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.