Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Hahaha
Uhuru wa maoni!!!
Uhuru wa vyombo vya habari!!!
Hapa ndio utawajua wanafiki
Mbowe haya mtimue na Kubenea
Mziki mnene hawasikilizaniHawa madogo ni wapuuzi hii issue ya ben kubenea sio fala aandike hayo this means inajulikana na watu humo ndani ya cdm lkn inaonekana imekosa coordination ndio maana imebuma
Kazi wanayoNyumbu wa ukawa Leo povu linawatoka toka asubuhi
Siasa za akili ndogo ziliisha 2015Hawa madogo ni wapuuzi hii issue ya ben kubenea sio fala aandike hayo this means inajulikana na watu humo ndani ya cdm lkn inaonekana imekosa coordination ndio maana imebuma