Hoja ya Kubenea in kumuanika Slaa na kuuweka ukweli kwa hiki anachokifanya na hapo ndipo nyie maCCM muandike alama ya kupoteza tsh. Billion 3.6 zimekwenda bure.
Kukaa kimya ni HEKIMA KUTOKA KWA MUNGU.Msibishane na mtu aliyekosa jinsi ya kujisafisha baada ya kukimbia mavi yaliyoletwa chumbani kisha akaenda kujitumbukiza ndani ya sink la choo.
Ukweli ukiwekwa wazi utawasaidia wengi sana Dr.Slaa mabadiliko hayasubiri mtu sisi tunasonga mbele daima .
Tanzania mpya inakuja ndani utawala wa mpya kwa raisi mtarajiwa Lowasa.
dk slaa na watu kama nyie hiv mmeshindwa kujua shetani tunayepambana nae ni CCM (sio Magufuli), wamezoea kulindana mpaka bunge letu limekua la ajabu..kisa ccm wengi.
Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.
Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..
Ni bora tujue uweli babu kanunuliwa kwa bei gani..sio anakuja na ngojera eti tumchague nusu fisadi...hahahahaa babu umechelewa sanaa nadhani leo umepata salamu toka uwanja wa taifa..Je na wale vijana wa uwanja wa taifa wamehongwa na lowasa au wamebebwa na mabasi...lowasa ndo mpango mzima....simchukii magufuli bali naichukia ccm....
Siasa za mwaka huu ni za kipuuzi.....watu baada ya kutangaza sera kwa wananchi..wanatuletea mambo ya mipasho.....
Kubenea wakazi wa jimbo lako tunataka kujua utatatuaje tatizo sugu la MAJI,,,,...???
Hana madhara huyo, kama alivyoacha utawa na bado watu wanasonga mbele na imani yao, vivyo hivyo ameiacha CHADEMA itaendelea kupaa bila yy, aende mbele.....