Kubenea kumvaa Dr. Slaa

slaa ameamua kuiua chadema yake kwa mikono yake mwenyewe. hii ni hatari sana aise...
 
Niwekee kwenye MWANAhalisi mimi ni mama lishe kwenye TV sitakuona huwa naanza kuuza chakula saa 12 asubuhi nafunga saa 6 usiku wala TV sina.Ukiniwekea kwenye gazeti nitalisoma kwa wakati wangu.

Daud ni mwanamke :what: we n mama lishe au baba lishe :sly:
 
Idadi ya Team Campain ya maccm imeongezeka watu wawili Dr Slaa na Humph Polepole
 

hawezi hata robo kushindana na slaa
 
Ujumbe kwa Dr Slaa- Mwisho wa ubaya aibu
 
Siamini macho yangu anacho kifanya slaa

Kuna mengi sn yabkuongea kuhusu slaa lkn la mwisho.ninkumwona kama anazeeka vby amebana vzr kwa kipindi kirefu anashindwa kukomaa kwa miezi miwili ???????? hakuna namba zaidi ya :-*oooo
 
DAKTARI W.SLAA MCHAFU HASAFISHIKI MBELE ZA MUNGU WALA WANADAMU WANAOMTUMIA KUPINGA MABADILIKO WANAJIMALIZA WENEYEWE:
KWA NINI?
KWA SABABU:
1)ALIKOSA UAMINIFU KWA MUNGU AKAAMUA KWA TAMAA ZAKE KUVUNJA KIAPO CHA DARAJA LA MILELE LA UPADRE/UTAWA,HAPA NI KUSEMA ALIMKATAA MUNGU AMBAYE WALIAGANA KUFANYA KAZI NAYE;HII NI LAANA,
2)ALIVUNJA KIAPO CHA UTIIFU KWA PONTIFU/BABA MTAKATIFU,HII NI LAANA,
3)ALIINAJISI MADHABAHU YA MUNGU,ALTARE KWA KUZAA NA MWANAMKE BADO AKIWA PADRE,IKUMBUKWE MAPADRE WA DARAJA KA KINA SLAA WANA CHASTITY ORDER/KUISHI BILA KULALA NA MWANAMKE KINGONO,HII NI LAANA,
4)DAKTARI SLAA ALIPOMWACHA ROSE KAMILI ILI HALI TAYARI KESHA MZALISHA MTOTO MBELE ZA MUNGU NI DHAMBI TENE INAYOMFANYA MUNGU AACHILIE SPIRIT OF REJECTIO JUU YA MTENDA DHAMBI YA KUMWACHA MKE/MME WA UJANA,HII NI KULINGANA NA MAANDIKO MATAKATIFU YAITWAYO BIBLIA KATIKA;
MALAKI 2:14;16"...kwa sabab BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako,uliyemtenda mambo ya hiana,angawa yeye ni mwenzako,na mke wa agano lako.
Maana mimi nakuchukia kuachana asema BWANA Mungu,..."HII NI LAANA,
5)KITENDO CHA PADRE MWASI NDUGU SLAA KUOA MKE WA MTU YAA MTALAKA WA MTU AITWAYE JOSEPHIME MSHUMBUZI ALIYEKULA KIAPO CHA MILELE NA ME WAKE HALALI ALIYEMTELEKEZA,KITeNDO HIKI MWENYEZI MUNGU ANAKIITA HIANA,TENA MASIHI YESU ANAKIITA ZINAA.HII NI KULINGANA NA MANENO YA BWANA YESU KATIKA,
Mathayo19:..nawaambia ninyi,kila mtu atakayemwacha mkewe...akaoa mwingine azini;naye amwoaye yule aliyeachwa AZINI."
6)DAKTARI SLAA KAUSALITI UMA WA WATANZANIA MASKINI WALIOFANYWA MASKINI NA SEREKALI DHALIMU ZA CCMNA KUAMUA KUIPIGIA DEBE CCM KISAILENSA ILI IRUDI MADARAKANI JAMBO AMBALO HALITAWEZEKANA,LAANA YA MUNGU LAZIM ITAMWANGUKIA TU
ATI POUNDS 1.5 MILION ZA Uk. Zitakuwa sheda kwake na kizazi chake,
Nami namwomba Mungu Amuumbue Upesi Na Josephine amtapeli zote kama adhabu ya kutusaliti.
VIVA Tanzania,
VIVA UKAWA,
VIVA ChaDeMa,
VIVA Mabadiliko
VIVA Eduward N.Lowasa,
Peoplessssssssssssssssss
Mabadiliko Lowasa,
Lowasa Mabadiliko,
Tukutane Oktoba 25 Katika Box la Kura Tukiwa Na vichinjio tayari Kuichinja CCM Na Kuipamba UKAWA.
NA ALAANIWE KILA MTU ASIYEPENDA MABADILIKO,NA KILA MTU ASEME,AMEN,AMIN,AMINA.
VIVA E.LOWASA
 

Kwani Kubenea ndio Lowasa? Kwa nini amjibie mtu ambaye ye mwenyewe yuko hai? Sikumbuki kwenye hotuba ya Dr Slaa kama kuna mahali alimtaja Saidi Kubenea!!
 
ushujaa wa kubenea umetukuka , safi sana ! kubenea nakuomba ukifika kyela nitafute nitakuwa SATIVA , dawa ya moto ni moto .
 

Hata mimi mabadiliko nayapenda, lakini sio kwa kupitia hilo lifisadi lenu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…