CCM wamemuweka Bashite Kama Sacrifical lamb kuwapotezea Muda Wanasiasa , Mijadala Mingi ya Msingi imekosa mvuto kwa kuwa wote wapo na Bashite!
Bunge la Bajeti linaendelea badala ya kuibana Serikal kuhusu utekelezaji wa Bajeti iliyopita wao wamekazania ya Bashite!
Wanasiasa wetu wa Upinzani huwa wanacheza ngoma zinazopigwa na CCM kwa Ujinga wao bila ya kujijua