Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
Ila tangu waanze kulisema suala Bashite, sion dalili za kuchoka. Watu bado wamekomaa nae tu.Bashite ni nani?? Watasema wakichoka watalala!!
2020 kuna baadhi ya Wabunge hawatarudi Bungeni kwa sababu wameacha kufanya mambo ya msingi kuhusu majimbo yao wamebaki na habari za Gwajima na Mange!
Safi na badoIla ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Mkuu wanajaribu bahati yao ila tamaa walishakata muda mrefuIla tangu waanze kulisema suala Bashite, sion dalili za kuchoka. Watu bado wamekomaa nae tu.
Huu msemo unahitaji marekebisho
"Watasema wakichoka watalala"
Wasukuma utawajua tu
Kosa moja halihalarishi kosa lingine.Hata mwenye elimu ya hapa na pale nae anahoji vyeti vya Makonda.Binadamu wepesi sana kujisahau
HalafuKakojoe ukalale kihiyo ww