playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena
Kwa hiyo?
Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena
Hapa ni halmashauri moja tu, lakini inamaana mnyika hakuuona huu ufisadi kweli? sasa nimeamini ukawa ni wa hovyo kuliko tunavyodhania.
hizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame
UKAWA ndiyo walikuwa wanatoa hizo hela za kufua hayo Majoho? Mbona Kikwete alishindwa kutoa hela za kutengenezea mashine za Muhimbili mpaka alipokuja Magufuli na hamkumuita Kikwete wa Hovyo kabisa?
Halafu kwani hiyo Halmashauri wakati inafanya huo ujinga ilikuwa chini ya UKAWA?
Inawezekana una akili nyingi hadi zinakupelekesha... Maana si vizuri kukwambia ukweli kwamba HUNA AKILI.
CCM wanalalamika kwasababu ni dili zao.....fichua zote kubenea....
Kama alivyomfichua lowasa
alimnadi lowasa mi fisadi, ikumbukwe hivyo
mie nimeuliza swali tu ina maana huu ufisadi Mnyika hakuuona? kebehi za nini sasa?
hizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame
Hivi ukiwa mpinzani ni kupinga kila kituhizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame