Kubembeleza mpenzi kila wakati

Kubembeleza mpenzi kila wakati

Kukaa muda wote kumbembeleza mpenzi wako hupelekea mazoea mabaya ya kutaka kubembelezwa kila wakati na ipo siku utamkuta anakusaliti atakutaka umbembeleze asiwe anakusaliti, mpenzi wako asijue tabia yako na misimamo yako.

Inawezekana vp mpenz wako asijue tabia yako na misimamo yako?
 
Kukaa muda wote kumbembeleza mpenzi wako hupelekea mazoea mabaya ya kutaka kubembelezwa kila wakati na ipo siku utamkuta anakusaliti atakutaka umbembeleze asiwe anakusaliti, mpenzi wako asijue tabia yako na misimamo yako.
Hayo ni mawazo yako tu....watu wanatofautiana...kuna wengine hakuna kubembelezana
 
Inategemea unayembembeleza yupoje,moja nilikuwa naye akawa nambembeleza sana yale mambo yetu kila siku,nikampiga chini,haiwezekani kila weekend mwanaume ninyimwe haki yangu.
 
na huo muda wa kubembelezana kila mara unapata wapi.......?

hujapata wakukubembeleza ww...
1620722_10152306581143487_2126725617_n.jpg
 
Hivi ukiwa na mwenza asiekubembeleza, anakuwa wa kazi gani? Mwenza manual kama dildo za mange nani anataka?! Manake kama ni mishindo tutajipa wenyewe, kama ni hela tutajitaftia.

kale kawimbo ka matarumbeta 'ndoa ni mapatano, na ni kazi ya kubembelezana' kana maana sana
 
sa sio vitu vidogo tu mnanuna ili tuwabembeleze, sa nyingine mnachosha... wengine unakuta na mtoto anae bado anajiliza sa ubembeleze wote wawili arrgh
 
Back
Top Bottom