mficha sukari
Member
- May 9, 2016
- 13
- 4
Kuna siku nilienda kumtembelea Boyfriend, sasa mda natoka kwake yeye akawa yuko kama hatua kumi mbele yangu mimi nilikuwa na mdada wa saluni nachukua namba za simu kuna rasta nataka nimwagize
Sasa ile namaliza kuchukua namba mbele kulikuwa na mijibaba kibao kwenye Grocery inamshangaaa hatareeee boyfriend vile kabeba bag yangu....ikanibidi nikimbie nimuwai niwe naye karibu ili kule kushangaa kupungue....
Pamoja na kuwanaye close ile mijibaba iliendelea kushangaaaa tuuu. Sasa sijaelewa kwani boyfriend kubeba begi ya kike ni tatizo? Mbona naonaga Dai anabeba ya Zari na watu hawashtuki? Why my boyfrind washangaeee?

ni mwiko kuficha u sweetLabda walidhani imebeba sukari
ni mwiko kuficha u sweet
gudumoni monkey ngabu.....Gilesi shut the eff up...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni mwiko kuficha u sweet
ni mwiko kuficha u sweet
[emoji276] [emoji276] [emoji276]Kwahiyo kwa kifupi unataka kutuambia kila anachofanya huyo Dai wako ni sahihi???... Hata akipumuliwa mgongoni we unaona sawa tu??
Wanaume wana makubwa ya kumfanyia mwanamke wala si kumbebea pochi.... Mwambie akununulie japo ka Vitz ili wanaume wenzie wasiendelee kumcheka...
Bro siku ukibeba piga kapicha ukatupiamo humu tuoneMa gentlemen tunabebaa....
Wala Hamna cha kuogopa Wala cha kuhofia....
Wacheke tuu, ila haiwahusu.....
Una uhakika hawakumpiga japo kamkonyezo? Ukute jamaa lenyewe linamzigo kama kakiroba ka sukari kwenye ghala za Zakaria.Teh teh..Ungechelewa kidogo watu wangeanza kumpiga sound..