Wadau mimi nina material ya chemistry na biology natafuta mwenye material ya Physics A level hasa ya MGOTE na O level pia ya mwandishi yeyote tu badilishane kwa chemistry na biology hata kama hauna kama unayataka poa nitakupa bure tu. N:B hela ya kununulia sina mimi nataka tu exchange tu material ya PHYSICS A LEVEL OR O LEVEL
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app