Mi nipo Chalinze, inafaa?Anyetaka kwenda Arusha ambaye ni mwalimu na yuko hapa Dar naomba tuwasiliane Kwa 0759 239577 ili tubadilishane
Masters, nafundisha pure mathematics, A- Level, Lugoba Secondary. Chalinze ni Halmashauri saivi, ila bado ipo wilaya ya Bagamoyo.We mwl Wa level ipi maana anayetafuta Wa kubadilishana naye ni Wa shule ya msingi