R Rizeeck Member Joined Aug 7, 2014 Posts 30 Reaction score 5 Dec 27, 2015 #1 Naitwa mwl msofe. nipo musoma v. mara... nataka kubadilishana kituo cha kazi nirudi Arusha,manyara,kilimanjaro,tanga,babati, nipo mahali penye huduma zote. umeme.maj.tigo pesa.m pesa.airtel money... tuwasiliane 0767 900094...
Naitwa mwl msofe. nipo musoma v. mara... nataka kubadilishana kituo cha kazi nirudi Arusha,manyara,kilimanjaro,tanga,babati, nipo mahali penye huduma zote. umeme.maj.tigo pesa.m pesa.airtel money... tuwasiliane 0767 900094...
A abuu muhammad Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 161 Reaction score 39 Dec 27, 2015 #2 Pole sana
mayname Member Joined Aug 26, 2014 Posts 30 Reaction score 8 Dec 27, 2015 #3 Kwa staili hii sidhan km utafanikwa,kwa ushaur piga deal na watu wa halmashaur unayotaka kuhamia upate nafas,ikipatikana nafas sbb ya kuhama hua hazikosekani.
Kwa staili hii sidhan km utafanikwa,kwa ushaur piga deal na watu wa halmashaur unayotaka kuhamia upate nafas,ikipatikana nafas sbb ya kuhama hua hazikosekani.