Fungua website ya UTUMISHI,ujiunge kupitia UTUMISHI portal
ambapo utaona watumishi wanaoomba kubadilisha wilaya unayotoka.Unatakiwa kuwa na email,check namba na kutengeneza neno LA siri.Utaweza kupata salary slip,kuwasilisha malalamiko moja kwa moja kwenye mfumo kama unayo.Tumieni fursa hizo maana UTUMISHI wako kidigital zaidi.Hongereni UTUMISHI kwa ubunifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.