Kubadilishana kazi kada ya Afya

Bahati Raphael

New Member
Jul 5, 2017
2
0
TANGAZO; yah mabadilishano. Mimi Elizabeth Milambo nilie katika idara ya afya cheo changu ni medical attendant nipo mkoa wa Pwani wilaya ya Kibaha, naomba. Kubadilishana kituo cha kazi kwa anayetoka mkoa wa Rukwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0628159381 au 0789820462.
 
Shikamoo Joseverest, nimekushikia nafasi yako Baba ukija natoka
 
Back
Top Bottom