Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,040
- 1,273
Habari wana Jf
Nahtaji kubadilisha umiliki wa gari yangu toka kwa mhusika nilienunua toka kwake,tatizo lililopo ni kuwa sina kitambulisho cha yule alieniuzia(first owner),ila nina mkataba tu ambao tulisainishana kwa mwanasheria!
Naomba msaada wa maelekezo kipi cha kufanya kwa anaejua!