teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau nina line ya voda niliyokuwa natumia hapo mwanzo kwa whatsapp na leo nimepata line nyingine yenye vifurushi vzr nikapenda nitumie hii mpya, sasa hofu yangu ni je nikibadili line na kutumia hii mpya yale magroup yangu ya whatsapp nitayapataje? Au nifanyeje nisipoteze chats zangu?