Kaka kama Utakua na Machine(computer) Tafuta Application inaitwa Format Factory basi Linabaki swala la Lugha tu na skills Za kawaida unakua umemaliza kazi
Kama upo Dar es Salaam Na Haujaweza kufanya Hivyo Naomba unitafute Nikusaidie Me Ni Mobile-Technician Usiwaze Kuhusu Nauli na Gharama zingine-Binafsi Napend Kusaidi watu na kupata experience(Nitakufata) Mwenyew Ulipo