Kubadilisha comb inawezekana?

Kubadilisha comb inawezekana?

Sir Msema

New Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Nimepangiwa HGK ila mm nahitaji PCB ambayo Nina points 9 je naweza kubadilisha?
 
Nimepangiwa HGK ila mm nahitaji PCB ambayo Nina points 9 je naweza kubadilisha?
Inategemea na shule ulopangiwa, Japo kwa Point hizo kutakua na ugumu hasa kwa shule nzuri na yenye wanafunzi wengi.
 
Back
Top Bottom