Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Kama CD ni bootable basi hiyo PC itakupeleka mpka sehem ya kuanza installation.....Au cjakuelew ?.Salam wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu Leo PC yangu ilikuwa ni window 8 sasa nikawweka CD ya window 10 nikaingia kwenye window setup lakin inagoma na nikijaribu kuzima kurudi kwenye window ya mwanzo inakata sasa Niko kwenye dilemma msaada wa haraka jmn
But vipi ukizima PC then ukiwasha nini kinatokea??Salam wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu Leo PC yangu ilikuwa ni window 8 sasa nikawweka CD ya window 10 nikaingia kwenye window setup lakin inagoma na nikijaribu kuzima kurudi kwenye window ya mwanzo inakata sasa Niko kwenye dilemma msaada wa haraka jmn
bila kuandika unachokiona huko ni ngumu kupata msaada.Salam wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu Leo PC yangu ilikuwa ni window 8 sasa nikawweka CD ya window 10 nikaingia kwenye window setup lakin inagoma na nikijaribu kuzima kurudi kwenye window ya mwanzo inakata sasa Niko kwenye dilemma msaada wa haraka jmn
Inaandika operating system not foundBut vipi ukizima PC then ukiwasha nini kinatokea??
Nikijaribu kuinstall hiyo cd ya window 10 inaishia asilia 72 alafu inaandika installation cancelledKama CD ni bootable basi hiyo PC itakupeleka mpka sehem ya kuanza installation.....Au cjakuelew ?.
Ukishindwa wacheki hawa DATA RECOVERY SERVICES.Nikijaribu kuinstall hiyo cd ya window 10 inaishia asilia 72 alafu inaandika installation cancelled
Daaa bio huwa ndo nin maana nawasha inaandika press ESC halafu nikibonyeza inasema press any key nikibonyeza inasema CD or hard drive to bootMmmm
Sasa ulifanya setting kwenye BIOS?
Yani umeset kuwa first boot device iwe hiyo cd drive.Daaa bio huwa ndo nin maana nawasha inaandika press ESC halafu nikibonyeza inasema press any key nikibonyeza inasema CD or hard drive to boot