Hutaki niwe shemeji yako?Wewe kaa huko huko Rombo.
Hapana. Wakristo mme mmoja mke mmoja. Ulishaoa. No second chance. Halafu sina dada.Hutaki niwe shemeji yako?
Left tu.. kama unaona magrp hayo ni kadhia achana nayo tu utajiunga ukihitajiNaomba Msaada Kublock Post za Magroup ya Watsapp bile kuLeft
Nina Magroup mengi maudhui yakufanana ila member tofauti
Ni Muhimu kwa kipindi cha chaguzi ila sio kwa sasa yananilia MB tu