KUBLOCK POST ZA GROUP WHATSAPP BILA KU-LEFT

KUBLOCK POST ZA GROUP WHATSAPP BILA KU-LEFT

Zuia auto download ya picha, audio na kideo.

Nenda kwa settings

Ukitaka ya kuangalia uta daunilodi ukiwa ndani ya chati.

Hayo kwa sasa sababu ndiyo yanaendana na unacholalamikia.
Hii ya Kawaida naijua
Me nataka nisione post yoyote iwe text o Media
 
Sijakwambia Kuzuia Media Autodownload za Watsap, hiyo Option si ipo tu clear

Me nataka nione group likiwa halijapistiwa chochote, neither text nor media
ZUIA VIDEO NA PICHA UNAPO DOWNLOAD ZISIINGIE KWENYE CM YAKO NA KUIZAJA BALI ZISIINGIE KWENYE SEVER ZA WHATSAPP YENYEWE NA SIO KWENYE CM YAKO MAANA ISIJAE HARAKA TAZAMA VIDEO HII LINK [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
 
Huyo ni Capt Tom Chandler mkuu,kamanda mbabe sana kwenye series inaitwa The last ship.
Naam, Chandler wa USS Nathan James, jamaa alionesha uongozi mzuri mno. Natamani viongozi wetu wangeangalia ile series wangejifunza kitu.
 
Naomba Msaada Kublock Post za Magroup ya Watsapp bile kuLeft

Nina Magroup mengi maudhui yakufanana ila member tofauti
Ni Muhimu kwa kipindi cha chaguzi ila sio kwa sasa yananilia MB tu
Kwa sasa hakuna option hiyo ila unaweza kuleft kiana members wasikustukie kwa:
1. Left faster katikati ya maongezi/conversation maongezi yaliyonoga.
2.Left alfajiri mapema kama saa10 hivi.

Namna nyingine badala ya exit group wewe report group.
 
Magrupu ni ulevi mbaya kwa watu wengi, mnaishi kama watumwa hayana faida yoyote zaidi uongo uongo na kuvunjiana heshima
 
Back
Top Bottom