KUBLOCK POST ZA GROUP WHATSAPP BILA KU-LEFT

KUBLOCK POST ZA GROUP WHATSAPP BILA KU-LEFT

Ni hatari mkuu. Ungepiga picha ningekusaidia kujua hatari ambayo ungekumbana nayo
Ooh kuna siku moja nimenunua demu nikakuta chupi yake ina hiyo logo nikatoka nduki. Kumbe nilikuwa sawa, huwenda mzigo ulikuwa umebebwa ndani ni hatari kwa afya.
 
Zuia au block notification zozote za mitandao mbali mbali ya kijamii kama WhatsApp, fb nk [emoji117][emoji117][emoji117]tanzama hii link


Nayafahamu hayo yote.. kaongelea MB n.k. sasa hapo hiyo inasaidia nini kwake huku mengine yanaendelea!!!!

Acha kukurupuka fikiriaga hata kidunchu.. mnapenda sana wengi wenu kuzunguka duaraaaaa weeeeeeee huku mwishowe michemsho tu.
 
Namna ya kuzuia picha na video za WhatsApp zisijidownload zenyewe automatically maana zinafanya cm yako ijae na kumaliza mb zako bila ww kufahamu na kupenda tazama video hio link [emoji117][emoji117][emoji117]


Mbona unaniwekea hizi link nisizozihitaji.. yaani sijazifungua hata kidunchu.. moja pia nimefikiria kitu nje ya boksi.. lingine jifunze kuelewa na sio kulazimisha. Unaweza kurusha link zako bila kuninukuu.. ni mimi eksipati wa haya..
 
Back
Top Bottom