KUB Mbowe anapwaya bungeni?

Sitashangaa Rais ajaye mwaka 2025 akawa Majaliwa

Tehetehetehe. Pole sana ndugu. Mlitaka kumchonganisha Makonda na Mzee Warioba. Aibu imewarudia wenyewe
Hiyo laana itaendelea kukutafuna wewe mwana kharamu
 
PM nae walewale tu, hivi vikao vya ndani vya chadema ndo analinganisha na vikao vya bunge, kweli hii nchi safari bado ndeeeeefu mno
Ukifika ruangwa ndio utajua ukweli
 
Ukifika ruangwa ndio utajua ukweli
Muulize mmiliki wenu mpya alikuja Ruangwa na Mtama wakachangia ccm kwa kununua kadi...wakamwaga pesa..1bil. ili Nape asishinde akaishia aibu.
 
Muulize mmiliki wenu mpya alikuja Ruangwa na Mtama wakachangia ccm kwa kununua kadi...wakamwaga pesa..1bil. ili Nape asishinde akaishia aibu.
Aya kesho wahi lumumba ukachukue buku 7
 
Jikite kwenye hoja usiyumbe kama mlevi.
 
Tatizo bavicha wengi wameingia chadema mwaka jana,wengi hawajui Dr.Slaa kama Dr.Slaa alishawahi kuwa mbunge na ndiye mwanzilishi wa neno fisadi.
 
Dah kwa majibu haya ya Waziri Mkuu hakika Mbowe yupo uchi wa mnyama

Mkuu kuhusu uelewa wa KUB Mbowe inajulikana kuwa upo chini....Naum huku JF hata Yeriko,Ben nk wamesusa kutetea chadema.
 
Ukapimwe kwanza wewe unaye endelea kukiunga mkono chama kinacho kumbatia majizi ya rasilimali za taifa
Hakika wanaounga mkono chadema ya mafisadi na watetezi wake kina mmawia wakapimwe akili.
 
Yaa ni kweli dogo nikikumbuka Mbowe anavyolilia chai na bia,hataki afya,elimu wa la barabara....hakika mbowe na chadema ni janga yaani kawadhalilisha sana.
 
Sitashangaa Rais ajaye mwaka 2025 akawa Majaliwa

Tehetehetehe. Pole sana ndugu. Mlitaka kumchonganisha Makonda na Mzee Warioba. Aibu imewarudia wenyewe
Sumaye alishawaambia ukawa kuwa hawana watu wa kuongoza serikali.....sijajua ccm watawapa kiongozi gani kuwasaidia kugombea?
 
Sitashangaa Rais ajaye mwaka 2025 akawa Majaliwa

Tehetehetehe. Pole sana ndugu. Mlitaka kumchonganisha Makonda na Mzee Warioba. Aibu imewarudia wenyewe
Mmewatelekeza wagogo na kuanza kuwasumbua, mliwaona kama miungu watu kabla ya uchaguzi lkn baada ya kuwapa kura mnawatimua kiroho mbaya!!!!!
 
Mmewatelekeza wagogo na kuanza kuwasumbua, mliwaona kama miungu watu kabla ya uchaguzi lkn baada ya kuwapa kura mnawatimua kiroho mbaya!!!!!
Hujui unachoongea,umeishiwa pumzi
 
Kwa uandishi huu,ulipaswa kuwa kwenye kitabu cha Kainerugaba Msemakweli cha Mafisadi wa Elimu Tanzania. Bure kabisa!
Jikite kwenye hoja kijana,tatizo lako unaingia uwanjani na hujui timu unayoshangilia sasa unashabikia timu ya wapiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…