Isaya Nehemia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 555
- 452
Mkuu wa kaya naye jana alijitutumua na makatibu tawala ili kufukia ripoti hii lakini wapi!Watu wengine bwana, wameshikwa na report ya CAG na ndiyo habari ya mjini tangu Jana. Waliokerwa na hali hiyo wana haha kuanzisha mijadala kuhusu Mbowe. Watu wote wapuuzeni kwa kwa sasa tujadili report ya CAG hayo mengine tumesha wahi kuyasikia ama tutayajadili wakati mwingine .
Sasa kama ndo yuko hivyo mbona anawanyima usingizi hapo Lumumba. Bila shaka mtakuwa mpo chini yake ndo maana.Huhitaji kuangalia bunge ili ujue udhaifu wake,hata akiongea na waandishi anatowa hoja dhaifu.
Ccm siku watakapo sikia Mbowe kaachia mikoba ya uenyekiti wanachama wao watawakodeshea helicopter kwenda kutalii china oops ikulu!Sasa kama ndo yuko hivyo mbona anawanyima usingizi hapo Lumumba. Bila shaka mtakuwa mpo chini yake ndo maana.
Jikite kwenye mada..dogo wacha kelele.lumumba inaonekana mnapewa on line streaming
Kijana tunahitaji KUB makini,ikumbukwe taifa linamlipa pesa nyingi.Sasa kama ndo yuko hivyo mbona anawanyima usingizi hapo Lumumba. Bila shaka mtakuwa mpo chini yake ndo maana.
Ok so ni bahati mbaya kuwa maradhi na dharura humfika siku za alhamisi tu kukiwa na maswali na majibu bungeni?sawa ume eleweka.Lazima kunakuwa na Kaimu kiongozi wa shughuli.za serikali,kumbuka Majaliwa ni binadamu huuguwa na hupata dharura.
Jikite kwenye mada,usiyumbeyumbe.Mkuu wa kaya naye jana alijitutumua na makatibu tawala ili kufukia ripoti hii lakini wapi!
Hakika hili nalo ni jambo zito.Mbowe toka alivyotuletea Lowasa kwenye chama chetu sina hamu nae
Hao ndio wale vijana umri wa kina diamond na ali kiba, wako very irresponsible, hauwezi kusense majukumu kwenye maongezi yao siku zote wanakimbilia kwenye ufundi wa matusi na kejeli za kipumbavu.Dogo lazima mjifunze kukubali kukosolewa,jikite kwenye mada.
Toka bunge lianze kumekuwa na alhamisi ngapi?..hizi ndio siasa mbovi za kurukia vijihabari zisizo na mantiki....!Ok so ni bahati mbaya kuwa maradhi na dharura humfika siku za alhamisi tu kukiwa na maswali na majibu bungeni?sawa ume eleweka.
Inabidi kuwavumilia mkuu.Hao ndio wale vijana umri wa kina diamond na ali kiba, wako very irresponsible, hauwezi kusense majukumu kwenye maongezi yao siku zote wanakimbilia kwenye ufundi wa matusi na kejeli za kipumbavu.
Sikiliza dogo, binafsi hapa sioni hoja bali porojo tu. Unajua sometimes hata maofisini watu wakiishiwa kazi za kufanya baadhi yao hucheza karata kwenye Pc's zao. Ndicho unachokifanya wewe hapa jamvini.Jikite kwenye mada dogo!
kwa hiyo unacheza karata?...pumzi yako ineshakata,huna hoja.Sikiliza dogo, binafsi hapa sioni hoja bali porojo tu. Unajua sometimes hata maofisini watu wakiishiwa kazi za kufanya baadhi yao hucheza karata kwenye Pc's zao. Ndicho unachokifanya wewe hapa jamvini.
Ni bora ukajikita kwenye kuuza tshirts na kofia za chama hapo Lumumba.
Nchi inaangamia kule karatu na Hai chini ya usimamizi wa ChademaHao mkuu wasikuumize kichwa.Wametumwa toka Lumumba wajaribu kwa njia za kupitia mitandao kuwasahaulisha wananchi kujadili hoja nzito za CAG kuhusu taifa linavyoangamizwa kwa ufisadi eti tujikite kwenye hoja dhaifu ya kumjadili KUB wa upinzani bungeni.Wenye mamlaka na ukawa wanaridhishwa na uwakilishi wake wao Lumumba wanahusikaje? Tumejanjaruka na mbinu hizi za serikali na chama chao kuwasahaulisha wananchi kwa hoja dhaifu za vikombe vya babu n.k.Hata hivyo leo serikalini ni sikukuu wanahaki ya kulipwa mara mbili ila wajue wananchi tulishtuka siku nyingi kwa sasa tunajadili nchi inavyozidi kuangamizwa na mafisadi na sio vinginevyo.POLENI SANA.
Heri ya Muungano wadau.
Nimejiuliza tu,nikaona ni vema pia nipate maoni kutoka kwa werevu wa mambo.Ila mimi kwa upande wangu nimeona ya kuwa KUB,Mbowe amepwaya na abadilishwe ili tupate KUB mbadala mwenye weledi.
Na hapa sio jambo la Aibu amwachie Rwakatare Wilfred ambaye alipata kuwa KUB (2000/2005).
Japo kulikuwa na ugumu lakini mara kadhaa aliongoza kambi ya upinzani iliyoweza kuwashawawishi wabunge wa CCM kuunga mkono hoja dhidi ya serikali.
Ikumbukwe tu mara kadhaa KUB wa sasa hayupo "consistent" hili linatokana na sababu kwamba yeye kama kiongozi huyumbishwa na mawazo ya wasaidizi wake yaani hana anachosimamia kama kiongozi,ikitokea Lisu,Kubenea,Mnyika wakatoa ushauri(miluzi) hukosa uamuzi.
Kakosa "Focus" na kutengeneza hoja endelevu ili kuleta matokeo na badala yake anajikita na vijihabari na matukio yasiyo na msingi.
Uwezo wake wa kuchimba ripoti na kuwasilisha mada za kitaalam kwenye hadhira ni mdogo..mara nyingi huongea kwa kufoka foka (povu),hana "details" na mambo mengi ya msingi na sio msomaji.
Ni hayo tu,nipo tayari kukosolewa...nimelazimika kuleta haya kwa sababu KUB ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kodi zetu.
Na hapo ndio unapoona ZITTO ni kifaa haswa kwenye siasa za TZ.Kitendo cha Zitto kuibuka jana na tamko almost similar na lile la Mbowe linaashiria ombwe la KUB kwenye bunge la awamu ya tano.
yaani zitto aliona Mbowe hajatosha kwa hoja...
sasa hii nayo ni mada kiongozi, huu ni upupu tuJikite kwenye mada..dogo wacha kelele.