KUB Mbowe anapwaya bungeni?

Anakusanya vijana wake wanaingia Bungeni wanasaini kwny Register ya mahudhurio I'll wasikose posho wanatoka nje eti wanasusia kuchangia, kesho wanarudi tena! Huu ni wizi na utapeli
 
Jikite kwenye mada usilielie
 
Anakusanya vijana wake wanaingia Bungeni wanasaini kwny Register ya mahudhurio I'll wasikose posho wanatoka nje eti wanasusia kuchangia, kesho wanarudi tena! Huu ni wizi na utapeli
Huu ni moja ya udhaifu.
 
Prof Mkumbo aliwaambia wapinzan wakijichanganya kusubili CCM iharibu (ripot ya CAG) ndo wapate chakuongea hii awamu ya tano upinzani utapotea xo usishangae kwa ushaur wako huu mbowe kupotea, upinzani unapswa kujenga hoja mbadala and strategic ones, sina hakika kama jana ulimsikia ZITTO, kama hukuweza itafute hiyo taarfa utaelewa nini nnachozungumza.
 
Du mbona wewe povu la kutoka kama katembea na mkeo
 
Sasa si ndio ufurahi wewe kisebengo? Tangu lini umekuwa na huruma kwa vyama vya upinzani?
 
Ungekuwa unajua umuhimu wa CAG ungeshauri chama chako kikubali kukaguliwa na CAG. Unashabikia kusikia halmashauri zimepewa hati chafu wakati chama chako kimekataa kukaguliwa na CAG kwa kutokuwa na taarifa za mapato na matumizi.
 
Hao mkuu wasikuumize kichwa.Wametumwa toka Lumumba wajaribu kwa njia za kupitia mitandao kuwasahaulisha wananchi kujadili hoja nzito za CAG kuhusu taifa linavyoangamizwa kwa ufisadi eti tujikite kwenye hoja dhaifu ya kumjadili KUB wa upinzani bungeni.Wenye mamlaka na ukawa wanaridhishwa na uwakilishi wake wao Lumumba wanahusikaje? Tumejanjaruka na mbinu hizi za serikali na chama chao kuwasahaulisha wananchi kwa hoja dhaifu za vikombe vya babu n.k.Hata hivyo leo serikalini ni sikukuu wanahaki ya kulipwa mara mbili ila wajue wananchi tulishtuka siku nyingi kwa sasa tunajadili nchi inavyozidi kuangamizwa na mafisadi na sio vinginevyo.POLENI SANA.
 
Ungekuwa unajua umuhimu wa CAG ungeshauri chama chako kikubali kukaguliwa na CAG. Unashabikia kusikia halmashauri zimepewa hati chafu wakati chama chako kimekataa kukaguliwa na CAG kwa kutokuwa na taarifa za mapato na matumizi.
Cha kwako kimekaguliwa?
 
Congratulations!
 
Sasa si ndio ufurahi wewe kisebengo? Tangu lini umekuwa na huruma kwa vyama vya upinzani?
Kijana mchango wako ni muhimu ili kuboresha siasa za upinzani,tukiacha eti tufurahie sio vema...,hapo umeonyesha dhahiri ya kususa na kuzira sio vema.Haya nakaribisha maoni yako kada.
 
Cha kwako kimekaguliwa?
Hapa tukiondowa CUF vyama vyote vimekiuka katiba.Ila kwa sasa jikite kwenye mada ili tuboreshe kambi ya upinzani.Je Kub Mbowe anapwaya bungeni?
 
Haya ni maneno ya kweli lazima yazingatiwe,hoja za CAG zinakuwa na mashiko bungeni pale serikali isipochukuwa hatua laa sivyo inabidi wajikite kwenye siasa za hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…