Kuashiria nini hapa???

Aisee nimependa shepu ya masaburi yake, kama yamechongwa vile! nahisi ndo maana hawa wadudu wamemzingira
 
Upupu na kinyaa ndani yake, yafaa kuweka kitu kinachotufunza sisi na wewe pia sidhani ktk hili kama kutakuwa na chakujifunza
 
Breki imefeli.

Ni zaidi ya kufeli.....duuuh! maana hao washkaji walivyojazana kwenye hicho kikao cha dharura...balaaa!! #sijui mpigwaji alikuwa na taarifa juu ya hili...
 
Upupu na kinyaa ndani yake, yafaa kuweka kitu kinachotufunza sisi na wewe pia sidhani ktk hili kama kutakuwa na chakujifunza

Unataka kujifunza nini zaidi ya hapo ulipofikia?

Huoni hata cha kujifunza mkuu kwenye hili?

na kujiswafi sio la kujifunza?
 
Dah cha kujifunza kipo bwana,,kujisafisha vizuri na sio kukurupuka ukasahau ka mzigo kidogo tu inakuwa nomaaaaa kama hiyo
 
izi ndo faida za kuwekeana vitu kinyume na maumbile (UKAMEROON), mpaka joint zinavunnjika m2 anashindwa hata kujizuia haja inapomfika. so, tafakari na uchukue hatua sahihi. zingatieni.
 
Nzi naona wako kwenye lunch baada ya kikao!mh!inaonekana wana njaa!!
 
Upupu na kinyaa ndani yake, yafaa kuweka kitu kinachotufunza sisi na wewe pia sidhani ktk hili kama kutakuwa na chakujifunza

unataka uwekewe nini ili ujifunze?? Definition ya biology au??
 
tehetehe!hapo sasa ukute anapanda vidaladala zetu za bongo,mmejazana,then anakuja simama karibu yako wakati we ndo umekaa!kitu level ya pua,then anakugeuzia masaburi kwako!utamwambiaje kama ndo wewe??tehetehe,mimi taratibu ningeshuka
 
ni zaidi ya kufeli.....duuuh! Maana hao washkaji walivyojazana kwenye hicho kikao cha dharura...balaaa!! #sijui mpigwaji alikuwa na taarifa juu ya hili...

hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...................... Mbavu zangu
 
Huenda tabia ya Cameroon ilishafanya kazi yake hapo.
 
Amekaa sehemu yenye wadudu akainuka nao na wala si mnavyojaribu kuelezea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…