Kuapply UDSM inasumbua

Kuapply UDSM inasumbua

vicbil21

Member
Joined
Oct 6, 2020
Posts
18
Reaction score
2
Wana JF;

Nilikua naomba msaada maana nmejarbu kuapply kwnye UDSM ADMISSION lakn inaload af inafail msaada wakuu
 
Nimemaliza kuapply sasiavi mtandao uko fresh, nadhani Tatizo Ni mahali ulipo
 
HIVI unajuaje kama hiyo course ina nafasi?
Hapo Sina uhakika ili mradi wenyewe wameweka Kama sehemu ya kuapply maana yake nafasi ipo ukizingatia watu wanaconcofirm au ku unconfirm kwa hiyo idadi kamili hata wao hawana.
 
Wana JF;

Nilikua naomba msaada maana nmejarbu kuapply kwnye UDSM ADMISSION lakn inaload af inafail msaada wakuu
Watu wengi wanaapply so server imezidiwa..chakufanya jaribu kuapply muda ambao unahic watu weng watakua hawaivisit..mfano alfajir...cause me mwenyew nlipata matokeo yang ya chuo kwa haraka kwa sababu nilikua na log in saa kumi asubuh...ilivofika mida ya saa mbili ikawa kuingia ni shida
 
Back
Top Bottom