Wakuu nimeappeal mkopo kutokana na hali mbaya ya kiuchumi ktk familia yangu. Heslb wameniambia niweke viambatanish ktk fomu yangu vinavyoonyesha kuwa wazazi wangu ni maskini. Sijajua ni viambatanishi gani naweza kuweka.. Msaada wenu tafadhali. Muda wa kuappeal ndo unaisha jumapili.