Short white
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 124
- 32
Can you pm me with a short description so I can get the picture of what you think, we can then see tunawezaje kufanya mkuu!
Pia napenda kuwajulisha kwamba last year nilipata UNFINISHED BUILDING around sinza B (potential location) ambapo nilifanya agreement with the owner kwamba nimalizie ujenzi kwa gharama zangu based na shughuli ninayotaka kuifanya then kwenye rental fees nitalipa kidogo kufidia gharama ya ujenzi.
Mkataba ni miaka 10.
I went to see one of the architetures for the drawings and estimated costs za kumalizia ujenzi. I got the figure around 100 million, pamoja na basic equipments za kuanzia kazi.
Nikaenda kumuona mtaalamu mmoja pale chuo kikuu for the business plan. Nikakubaliana nae gharama za kutengeneza plan.
Nikalipa aka anza kazi kwa kufanya feasibility study. Akamaliza kutengeneza business plan, lakini kwenye agreement ya kazi huyu mtaalam aliniambia kwamba ataweza kufanya presentatiton ya business plan kwenye baadhi ya banks zetu na itakapofanikiwa alipwe commission yake.
Nilikubali.
Ikaja issue ya collateral,
Mwenye jengo alikubali nitumie hilo jengo kama collateral, The building owner is optimistic. Personally, I could not have that money therefore nikaanza kutafuta pa kuanzia.
As you know our banks's policies hawatoi hela for start up, nimehangaika huku na kule bila mafanikio, tatizo hapa ni resource.
Nawakilisha wakuu.
If you still on the same mind set ninajengo langu sinza pale Vatican naweza kufanya for rent uendelee na mambo yako, its a big building with 5 rooms.Salaams Great Thinkers,
Mimi ni ndugu yenu muangaikaji wa kutafuta 'financial freedom'. Nimeajiriwa na serikali tangu mwaka 2007 hadi hivi sasa naendelea na ajira ya serikali na kituo changu cha kazi ni one of the hospitals in DSM.
Kitaaluma ni Medical Doctor ( GENERAL PRACTITIONER).
Kwa jinsi nionavyo muelekeo wa maisha wa sasa katika fani sivyo ninavyotaka kuendelea kwa hiyo nahitaji kubadili muelekeo kwa gharama yoyote.
Nahitaji kuendelea na kazi ya kutibu lakini si kuendelea kuajiriwa. Kwa maana rahisi ni kwamba nahitaji kujiajiri katika fani. Yaani nahitaji kuanzisha General Clinic in town.
I have been thinking strategically- where I am; where i want to be ; and how to get there ( action plan), lkn bado sijapata jibu sahihi namna ya kuanza na kufika safari ninayotaka kuianza.
Naomba ushauri wakuu.
Nawakilisha.
Njoo PM mkuu...Kuna documents nitakupatia zinaweza kukusaidia.Uzi mzuri sana.
Nimekaa nikatafakari kuhusu kuanzisha hizi polyclinics ambayo itakua na pharmacy na maabara na ambapo i will have doctors to attend patients.
Naomba kama kuna mtu anajua taratibu za kisheria za kuanzisha hii kitu na vibali vyake vyote. Lakini pia ambae anafanya au amewahi fanya au anau zoefu wa aina yoyote anaweza kushare na sisi.
Location nataka niiweke Mwanza.
Nawasilisha.