Kuanzisha Community Based Organisation (CBO)

Head up

Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
81
Reaction score
129
Habari wana jamii
Ninaomba kwa anaefaham anijuze utaratibu wa kuanzisha Community based organisation (CBO) wilaya, tayari tumesha andaa katiba pamoja na muhtasari wa kikao hivyo tunahitaji kufaham hatua zinazofuata.

Natumai nimeeleweka wakuu.
nawasilisha.
 
Taratib ziko wazi wizara ya gwajima ameziweka n unalipia ada ya mwaka kulingana na scope ya CBo yako
 
Habari wana jamii
Ninaomba kwa anaefaham anijuze utaratibu wa kuanzisha Community based organisation (CBO) wilaya, tayari tumesha andaa katiba pamoja na muhtasari wa kikao hivyo tunahitaji kufaham hatua zinazofuata.

Natumai nimeeleweka wakuu.
nawasilisha.
Kuna jamaa kafanya sana hii mpaka Sasa.

Natamani Niku introduce kwake huto jutia Fanya Kuni inbox namba nampatia then case Yako itakua closed.

Usisahau kuja kutupa mrejesho sawa .
 
Habari wana jamii
Ninaomba kwa anaefaham anijuze utaratibu wa kuanzisha Community based organisation (CBO) wilaya, tayari tumesha andaa katiba pamoja na muhtasari wa kikao hivyo tunahitaji kufaham hatua zinazofuata.

Natumai nimeeleweka wakuu.
nawasilisha.
Unaandika katiba ya CBO
Unaisajili kuanzia Kijiji au mtaa mpaka kwa ded (barua iambatand na kopi ya katiba)
Unaingia kwenye mfumo wa wizara ya gwajima
Una up load watakukibu na Chet utatumowa
Kama nimesahau baadji ya vigezo utabilita hapo
Kuhusu katiba njoo dm
 
Back
Top Bottom