Kuanzisha biashara ya Maabara

Kuanzisha biashara ya Maabara

Ahsante Mkuu! Lengo langu ni kuwa na maabara ya vipimo vya magonjwa ambayo ni common na ni ya kawaida ya binadamu. Kuhusu utalaam mimi sina utalaam huo ila nimeona ni fursa ambayo naweza kunufaika nayo kwa mtaji mdogo nilio nao.
Habari mkuuu , naomba kuuliza kama ulishakamilisha lengo lako la maabara , ili nipate uzoefu kwako
 
Back
Top Bottom