Kuanzisha biashara ya Maabara

Kuanzisha biashara ya Maabara

Wabogojo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
354
Reaction score
87
Habar zenu Wakuu!

Nina lengo la kuanzisha na seriouly kufanya biashara ya Maabara ya kupima vipimo vyote vya magonjwa ya binadamu katika moja ya mji wa hapa TZ.

Ninacho omba kutoka kwa watalaam na au wazoefu wa mambo ya maabara ni kupatiwa process au mchakato mzima wa kuhakikisha nakidhi vigezo vyote na pia ni vifaa gani muhimu vinavyo hitajika kwa maabara iliyo kamili.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote watakao kuwa tayari kuni support ili nitimize ndoto zangu ikizingatiwa kuwa sehemu tayari nimeshaipata ni room kubwa ya kutosha katikati ya manispaa.
 
Wewe una mtaji tu au una taaluma na mtaji pia? Na umesema vipimo vyote coz departments za lab ni nyingi na umesema umepata chumba kimoja.... vp hapo una maanisha department zote au?
 
Ww una mtaji tu au una taaluma na mtaji pia? Na umesema vipimo vyote coz departments za lab ni nyingi na umesema umepata chumba kimoja.... vp hapo una maanisha department zote au?

Ahsante Mkuu! Lengo langu ni kuwa na maabara ya vipimo vya magonjwa ambayo ni common na ni ya kawaida ya binadamu. Kuhusu utalaam mimi sina utalaam huo ila nimeona ni fursa ambayo naweza kunufaika nayo kwa mtaji mdogo nilio nao.
 
Mkuu hongera sana kwa wazo, ila jua unaingia katika biashara so inabidi uangalie mapungufu ya wengine ili uweze pata wateja. Sitegemei target yako iwe ni kupima mkojo kwa uti, malaria kwa blood slide au choo, nazani jaribu kucheck zaidi katika new technology ila inategemea na mtaji., kama basic tu wahitaji tu light microscope ila kama advanced fikiria comprehensive chemistry analyser ya damu hapa yapima most of body chemistry kama electrolyte nk, urine analyser, blood cells analyser, incubators kwa ajili ya kufanya some culture and sensitivities, nitarudi kuongeza ukishanijibu swali hapo juu kuhusu mtaji na vision yako
 
Mkuu hongera sana kwa wazo, ila jua unaingia katika biashara so inabidi uangalie mapungufu ya wengine ili uweze pata wateja. Sitegemei target yako iwe ni kupima mkojo kwa uti, malaria kwa blood slide au choo, nazani jaribu kucheck zaidi katika new technology ila inategemea na mtaji.,kama basic tu wahitaji tu light microscope ila kama advanced fikiria comprehensive chemistry analyser ya damu hapa yapima most of body chemistry kama electrolyte nk, urine analyser, blood cells analyser, incubators kwa ajili ya kufanya some culture and sensitivities, nitarudi kuongeza ukishanijibu swali hapo juu kuhusu mtaji na vision yako

Ahsante Mkuu Sushii, nime ku PM muda mfupi uliopita.
 
Ahsante Mkuu Sushii, nime ku PM muda mfupi uliopita.
Mimi nina nia hiyo.Naishi katika kata yenye watu 15000 na kumeanzishwa maabara lakini nahisi utapeli ni mwingi kwani nimeshuhudia mtoto wa miezi tisa akiandikiwa kuwa ana typhoid.Pia kila blood slide majibu ni parasite wawili au watatu.

Nia ni kuanzisha maabra ya uhakika zaidi.Naomba mwenye weledi anisaidie kuhusu plan ya jengo,vifaa na process za kupata kibali.
 
Vizuri ungesema mtaji wako unarange kiasi gani?m ni lab scientist ,kwa kifupi lab ya chini ya chumba kimoja ni sample collection site ila hii utakuwa unapima na kutuma maabara nyingine.ukitka kupima inabidi inaanzia level C uwe na vyumba kuanzia viwili,microscope moja ya macho mawili,,centrifuge,micro pipette si chini ya mbili,HB meter na vingine kwa uchache ni hivyo wafanyakazi atleast mmoja mwenyewe certificate na assistant mmoja pia kama ww sio mtaalamu Wa maabara inabd utafute MTU kuanzia mwenye diploma atleast na awe na lesen ya bodi ili utumie cheti chake na unakuwa unamlipa kila mwezi kutokana na maelewano yenu na inabd atoke mkoa ambao unafungua hyo maabara maana yeye ni anaact kama msimamiz,pia unaposema unataka inayopima vitu vyote mkuu hata muhimbili kunavitu havipimwi lab sio mchezo na hyo nliokutajia ni minimum level c,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shukrani kwa ufafanuzi mzuri,pamoja na kwamba muuliza swali hajapatikana bado,kwa manufaa ya wengi tunaomba utusaidie kama una uelewa au uzoefu juu ya bei ya vifaa hivyo ulivyotaja hapo juu au vifaa muhimu vya kupima magonjwa madogo madogo ya kila Siku km malaria,typhoid,minyoo,UTI,amoeba nk ambayo kwa kawaida walitegemea kupata dispensary ya serikali ili angalau kupata picha ya gharama ya vifaa muhimu

Pia kama mwanzisha mada alivyoomba kujua taratibu za kufuata ili kutambuliwa rasmi na mamlaka husika zikoje?

Asante

Microscope inategemea zinaanzia laki8 kama sikosei mpaka m3 bt ukipata nzur kama Olympus inakuwa poa BT bei inakuwa imechangamka sababu ni brand,bt non brand unaweza pata kuanzia laki8 kunajamaa yangu anauzaga last time aliniambia laki8 japo kwa kuanzia sio mbaya,HB meter utaipata kuanzia lak5 pippete inaanzia lak na nusu moja,urine analyzer m1.5 BT kwa kuanzia unaweza chukua strips tu mia zinauzwa 20000 kama sikosei,vingine vidogo vidogo baahat mbaya muongozo ni hadi copy na sipo nao karibu,,jengo ndo lamuhimu maana halitakiwi kujichanganya na biashara nyingine pia meza ziwe zinateleza either tiles au marbles au fomaika ili iwe rahis kusafishika na sink za kunawia,pia floor iwe nzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shukrani kwa ufafanuzi mzuri,pamoja na kwamba muuliza swali hajapatikana bado,kwa manufaa ya wengi tunaomba utusaidie kama una uelewa au uzoefu juu ya bei ya vifaa hivyo ulivyotaja hapo juu au vifaa muhimu vya kupima magonjwa madogo madogo ya kila Siku km malaria,typhoid,minyoo,UTI,amoeba nk ambayo kwa kawaida walitegemea kupata dispensary ya serikali ili angalau kupata picha ya gharama ya vifaa muhimu

Pia kama mwanzisha mada alivyoomba kujua taratibu za kufuata ili kutambuliwa rasmi na mamlaka husika zikoje?

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu unaonana na maabara Wa wilaya au Wa mkoa anacheck jengo lako alafu inabd uwe na MTU Wa maabara mwenye leseni ambaye mtaelewana utumie leseni yake kufungulia na kwa mwez utamlipa sh ngap,pia kama atafanya kazi yeye au utaweka na mtu mwingine ye utumie cheti chake kumbuka mtu Wa maabara cheti chake anaruhusiwa ktumia mwisho maabara 3 na ni ndani ya mkoa huo tu,

Mkuu nashukuru sana kwa msaada nimepata taarifa muhimu kuhusu hii biashara maana hii huduma bado upatikanaji wake kwa maeneo mengi ya vijijini ni shida sana na hata hivo ni muhimu kuifikiria pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom