Kuanzia leo simpendi tena magufuri!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzia leo simpendi tena magufuri!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, Jun 26, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmoja wa watu ambao wamekuwa wakihusudiwa sana na wananchi wa kada zote mathalani raia wa kawaida na vyama vya siasa kwa uchapaji kazi wake ni mh magufuri. Ila baada ya kcuhunguza sana baadhi yetu tumegundua magufuri ni mnafiki tu!. Mathalani sijawahi kusikia hata siku moja mh magufuri akipinga muswada usio na tija kwa taaifa. Yeye ameingia katika kundi la wabunge wa sisiem wanao penda kusema ''' ndiooooooooooooooo! Wakimaanisha kuunga hoja hata kama ni za kukandamiza wananchi. Mfano mzuri ni muswada wa waziri wa fedha wa juzi mh magufuri alikuwa miongoni mwao waliounga mkono hoja kwa kauli ya ndioooooooooooooooooooooooooooooooo!. Nilikuwa nampenda sana magufuri lakini sasa nimegundua ni mnafiki tu!
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unampenda kwa lipi? kwa kusema Makilometre ya barabara za rami ya uongo kwa harakaharaka kama mganga wa kienyeji?
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu umepotoka, Magufuli ni waziri = serikali, na bajeti + miswada ni ya serikali. Unataka ajipinge mwenyewe? As long as he is a minister, hawezi kupinga hoja za serikali, kisiasa na kiutawala ni kama uhaini.
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  magufuli ni 0000000000 kabisa,uzalendo ulishaisha siku nyingi.ni mzee wa mipasho ya kijinga.hana msimamo hata kidogo.na hii ni tangu alivyoanza kupingwa ma rais+waziri mkuu.ilbidi arudishe kasi ya uzalendo na kujiunga na mafisadi.uzalendo wake umebaki kwa maneno si vitendo tena.
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Kumpenda au kutompenda kiongozi kwa kutekeleza wajibu wako litabaki kuwa suala la mtu mwenyewe.
  Hata hivyo kutompenda mtu kwa sababu anatekeleza vizuri wajibu wake , basi wewe utakuwa na matatizo.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Magufuli hana analo fanya zaidi ya kutokea tu kwenye tv na kukalipia watu. Master of cheap politics and publicity stunts.
   
 7. M

  Masuke JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mti wenye matunda matamu ndo hupata taabu ya kupopolewa na wapita njia.
   
 8. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mag ni low minded! Alibomoa nyumba yake afu za majirani bila fidia kwa kutafuta sifa bila haki, myopic Mag, hawmjui tuu
   
 9. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kwani magufuli na mchemba wana tofauti gani?pole sana mkuu kwa kupoteza muda wako kuyaamini magamba....
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Si unajua aliziuza nyumba za serikali huyu na mawaziri wakaanza kulala Kempiski.
   
 11. M

  MTK JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280

  Pole sana wewe ulichelewa kumpima mzee wa kukariri!! Kama John pombe "kali" Magufuli kama alivyowahi kujiita yeye mwenyewe; kama angekuwa ni mtu Principled kweli kweli angekuwa amejiuzulu kazi siku nyingi ukizingatia matendo aliyowahi kufanyiwa na JK na PM Pinda wakimwambia aache ubabe na kumkatisha tamaa kwa kiasi kikubwa wakati akijaribu kutekeleza miradi ya barabara mbali mbali nchini, kama vile haikutosha Pinda alikwenda kuweka msisitizo mpaka jimboni kwa magufuli kama vile alitaka wapiga kura wake wamuone si lolote si chochote mpiga debe asiye na maana lakini bado magufuli ameendelea kung'ang'ania wadhifa ndani ya serikali inayomdhalilisha. ni wale wale CCM, wanafikiri kwa matumbo.
   
 12. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kakunyima shea nini? kule alikojiuzia kiwanja cha serikali na kujenga ligorofa la kilomita moja, akawapangisha na wale wanojenga barbara ya B Moyo.
   
 13. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kuna upande wa serikali wakati cabinate inajadili miswada? Kama ndivyo basi sisiem inajizika yenyewe. Lazima a-challange wakati miswada ikiwa ngazi ya cabinate...lasivyo hatupendi watz...haipendi tz..HATUMPENDI.
   
Loading...