Kuanzia leo nimemkubali Ali Kiba. Alizaliwa kuburudisha

Mjue life is too short to hate stuffs. Lets all appreciate good music.

Ikiwa ni Ally anakukosha dance the song, just move that body na ikiwa ni Diamond anakukonga moyo shake that body, hata ikiwa Mungu ibariki the national anthem unaipenda jifiche dance kwa sana.

Mambo ya uteam yametokaga wapi jameni...

Lets all love some good music simple like that..msanii wamkubali mpe support lakini kejeli za kuchambana kwenye net yooo..sio poa bana.

Msiende sawa na dunia hii...kila mmoja aheshimu mwenzake anachoona ni bora..basi inatosha..
 
Lakini muziki sio siasa kwamba unahitaji sana huu ustaarabu. Kwenye muziki kukejeli na kuponda inaruhusiwa tu na wala hilo halijaanza leo. Mambo ya ustaarabu yanaondoa burudani yote inayokuja na muziki. Kikubwa usitukane tu.
 
Umechelewa sana kuligundua hilo.anyway karibu katika club ya muziki mzuri.
 
Ha haaa daaah , nazikubali hustle za Diamond tena Sana pamoja na utunzi Bora na uliotukuka wa nyimbo za kusikiliza na kubembeleza za Rayvanny , hata hivyo hyo hainifungi kusikiliza Tungo tamu za wasanii wengine na wakifanya vyema lazima niwasifie ....!! Vipaji vizur vipo kila sehemu havijarundikwa Tu pale WCB,
For real.
 
Back
Top Bottom