Kuanzia leo nimeacha Rasmi kushabikia Mpira wa Tanzania

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,758
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

SABABU NI HIZI.

1.Mpira wa Tanzania unaendeshwa Kisiasa,kwakuwa mimi sipendi siasa hivyo rasmi nimebwaga manyanga.

2.Upendeleo wa baadhi ya Timu hasa hizi kubwa (Yanga & Simba) huku timu ndogo zikidhurumiwa.

3.Maamuzi ya kionevu kwa timu zote kubwa na Ndogo.

4.Mpira wa Tanzania unanuka Rushwa,Kashfa za upangaji matokeo na uzwazwa,hivyo mimi kama kijana niliyeishia Form 6 nikiwa na Akili timamu nimeamua kabisa kutoshabika kabisa mpira wa Tanzania.

5.UPENDELEO

6.UPENDELEO

7.UPENDELEO

8.UPENDELEO

9.UJINGA WA VIONGOZI,,(Siwezi kuona naongozwa na viongozi wajinga)

10.SIASA ZA KIJINGA.(Mpira umekuwa kama mali ya chama fulani,na sisi tusio na vyama tunafanyaje?)

Njoo Taratibu ukiwa umemuaga mkeo,angalia nisije kupigwa ban kwa ajili ya ujinga wako.

Mercì Bandeko na Ngai
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Merci Bandeko na Ngai

SABABU NI HIZI.

1.Mpira wa Tanzania unaendeshwa Kisisasa,kwakuwa mimi sipendi siasa hivyo rasmi nimebwaga manyanga.

2.Upendeleo wa baadhi ya Timu hasa hizi kubwa (Yanga & Simba) huku timu ndogo zikidhurumiwa.

3.Maamuzi ya kionevu kwa timu zote kubwa na Ndogo.

4.Mpira wa Tanzania unanuka Rushwa,Kashfa za upangaji matokeo na uzwazwa,hivyo mimi kama kijana niliyeishia Form 6 nikiwa na Akili timamu nimeamua kabisa kutoshabika kabisa mpira wa Tanzania.

5.UPENDELEO

6.UPENDELEO

7.EPENDELEO

8.UPENDELEO

9.UJINGA WA VIONGOZI,,(Siwezi kuona naongozwa na viongozi wajinga)

10.SIASA ZA KIJINGA.(Mpira umekuwa kama mali ya chama fulani,na sisi tusio na vyama tunafanyaje?)

Njoo Taratibu ukiwa umemuaga mkeo,angalia nisije kupigwa ban kwa ajili ya ujinga wako.
Ushabiki wako hautuhusu
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

SABABU NI HIZI.

1.Mpira wa Tanzania unaendeshwa Kisiasa,kwakuwa mimi sipendi siasa hivyo rasmi nimebwaga manyanga.

2.Upendeleo wa baadhi ya Timu hasa hizi kubwa (Yanga & Simba) huku timu ndogo zikidhurumiwa.

3.Maamuzi ya kionevu kwa timu zote kubwa na Ndogo.

4.Mpira wa Tanzania unanuka Rushwa,Kashfa za upangaji matokeo na uzwazwa,hivyo mimi kama kijana niliyeishia Form 6 nikiwa na Akili timamu nimeamua kabisa kutoshabika kabisa mpira wa Tanzania.

5.UPENDELEO

6.UPENDELEO

7.EPENDELEO

8.UPENDELEO

9.UJINGA WA VIONGOZI,,(Siwezi kuona naongozwa na viongozi wajinga)

10.SIASA ZA KIJINGA.(Mpira umekuwa kama mali ya chama fulani,na sisi tusio na vyama tunafanyaje?)

Njoo Taratibu ukiwa umemuaga mkeo,angalia nisije kupigwa ban kwa ajili ya ujinga wako.

Mercì Bandeko na Ngai
Yaani leo ndio umezinduka?
Mimi tangu enzi za TUKISHUSHWA DARAJA TUTAENDA KUCHEZA LIGI YA ZANZIBAR nikaachana na kabumbu,sasa hivi mimi ni soccer tu.
 
Back
Top Bottom