Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,417
Huo mstari wa mwishoPole kwa kufanya maamuzi magumu
Wacha wengine tuendelee kunywa
Kwanza unakufa na figo nzima yann

HahhahaaHuo mstari wa mwisho![]()
Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha.
Huu ni mwaka wa 15 nakunywa pombe. Siku nne za wiki nakunywa angalau bia 4 kama sio tano yaani heineken =4*300*4 = 48,000.
Siku tatu ambazo ni weekend nakunywa bia 10 mpaka 12 Heineken = 10*300*3 = 90,000.
Kwa hiyo kwa wiki nakunywa minimum 138,000 sasa mwaka una wiki 52 = 138,000*52=7,176,000
Kwa miaka 15 nimekuwa nikinywa = 15*7,176,000=107,640,000. Kwa hiyo kiwango cha chini nilichotumia kwenye pombe mpaka sasa ni 107,640,000/=.
Hapa sijajumlisha na zile offer za akina Aisha, Mwajuma, Jane, Mary, Frnki nk. kwasababu mimi ni mkarimu sana kwenye kuwapa offers lets say nimeshatoa offer kama 1/4 ya nilichotumia mimi ambayo itakua ni sawa na 107,640,000/4 = 26,910,000.
Jumla ya matumizi yangu kwenye ulevi ni 107,640,000+26,910,000 = 134,550,000.
Kwaheri pombe.
Enough is enough.

UMENENA KWA FIKRA YAKINIFU!Hesabu zako kali sana
hizo pesa ulizochangia pato la nchi (usizilalamikie sana)
chamuhimu saivi angalia usije ruka mkojo ukakanyaga Uharo.
Maana wengi wanaojaribu kuacha wenyewe Hutoka ulevi A na kuhamia ulevi B(KUWA MAKINI HAPO).
ile pesa uliyokua unaitumia kila wiki 138,000 hakikisha kila wiki unapeleka BANK(kwenye fixed account) hiyo pesa.
Yani hakikisha tena bila kuangalia pembeni BANK kila wiki inaingia ile 138,000...
mwakani tarehe kama ya leo tar 05/11 Toa hela yote uliyojiwekea kwa uaminifu mkubwa sana.
Utakua ni kama jamaa lililo shinda JACKPOT then hiyo PESA yote sasa ya mwaka mzima kama ulivyosema 134,550,000.
Fanyia kitu kama MEMORY ya pesa uliyokua unapoteza kwenye pombe so JENGEA (nashauri JENGEA) then hiyo nyumba
uje uwasimulie wanao/wajukuu ilikuaje na imetokea wapi utakua umewaokoa wao mpk na vizazi vyao na utawapa Fundisho
kubwa sana katika maisha yao.
ILA KAMA BAADA YA KUACHA POMBE
hutoweza tena kusanya hiyo hela kupeleka BANK aseee nakushauri RUDI TU kwenye pombe maana Pombe ina faida
kwako kuliko hasara....yani kama utashindwa tengeneza hiyo amount kwa wiki,kwa mwezi,kwa mwaka Haina haja ya wewe
kuacha pombee ndelea tu kuzinywa maana inaonyesha POMBE hukupa mzuka wa kuchakarika kuliko utapoiacha.

Kikelelwa,
Pole sana kwa kuingiliwa na wazo la kijinga.
We acha, sisi wapambanaji tunaendelea kulisongesha mpaka kieleweke...
Sasa ukitaka kujua Dunia ina mambo na maajabu, ukiacha pombe tuu na hizo hela unazodhani ulikuwa unapoteza zinapotea na hupati tena, pia hata michongo inaanza kufa😀😀😀Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha.
Huu ni mwaka wa 15 nakunywa pombe. Siku nne za wiki nakunywa angalau bia 4 kama sio tano yaani heineken =4*300*4 = 48,000.
Siku tatu ambazo ni weekend nakunywa bia 10 mpaka 12 Heineken = 10*300*3 = 90,000.
Kwa hiyo kwa wiki nakunywa minimum 138,000 sasa mwaka una wiki 52 = 138,000*52=7,176,000
Kwa miaka 15 nimekuwa nikinywa = 15*7,176,000=107,640,000. Kwa hiyo kiwango cha chini nilichotumia kwenye pombe mpaka sasa ni 107,640,000/=.
Hapa sijajumlisha na zile offer za akina Aisha, Mwajuma, Jane, Mary, Frnki nk. kwasababu mimi ni mkarimu sana kwenye kuwapa offers lets say nimeshatoa offer kama 1/4 ya nilichotumia mimi ambayo itakua ni sawa na 107,640,000/4 = 26,910,000.
Jumla ya matumizi yangu kwenye ulevi ni 107,640,000+26,910,000 = 134,550,000.
Kwaheri pombe.
Enough is enough.
We jamaa fala sanaPole kwa kufanya maamuzi magumu
Wacha wengine tuendelee kunywa
Kwanza unakufa na figo nzima yann
Hongera lkn nadhani maisha tukifanya calculation ya namna hiyo tutakufa kwa pressurePamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha.
Huu ni mwaka wa 15 nakunywa pombe. Siku nne za wiki nakunywa angalau bia 4 kama sio tano yaani heineken =4*300*4 = 48,000.
Siku tatu ambazo ni weekend nakunywa bia 10 mpaka 12 Heineken = 10*300*3 = 90,000.
Kwa hiyo kwa wiki nakunywa minimum 138,000 sasa mwaka una wiki 52 = 138,000*52=7,176,000
Kwa miaka 15 nimekuwa nikinywa = 15*7,176,000=107,640,000. Kwa hiyo kiwango cha chini nilichotumia kwenye pombe mpaka sasa ni 107,640,000/=.
Hapa sijajumlisha na zile offer za akina Aisha, Mwajuma, Jane, Mary, Frnki nk. kwasababu mimi ni mkarimu sana kwenye kuwapa offers lets say nimeshatoa offer kama 1/4 ya nilichotumia mimi ambayo itakua ni sawa na 107,640,000/4 = 26,910,000.
Jumla ya matumizi yangu kwenye ulevi ni 107,640,000+26,910,000 = 134,550,000.
Kwaheri pombe.
Enough is enough.
Bahati mbaya aisee maganda ya ndizi yalinishinda ukiangusha bapa naangusha Bombadier
Drink until you are in critical condition eg hepatitis, cirrhosis and other kind of heart disease.I have been Drinking for the Last Five years.
But I really dont know why I should Drink!
It has reach a point whereby a day cant pass without me taking 1 or 2
At the moment am sruggling on quiting drinking all together!!
Please JF members, Is there anyone who has been drinking and now he is out of it?
In simple terms, Is it posible for one to quit Drinking?
I always ask myself what I get from drinking but but only negatives
1. Hang overs in the office
2. I cant give out my best in office
3. Loss of money
4. Am growing old at a very high rate
5. Kitambi
6. Some sundays I cant attend mass due to hang over
7. I drive carelessly as I feel am the Michael schumacher of Tanzania.
8. Some people now just take me as a mare drunkered
9. Sometimes am late in the Office
10. Most of my free time is wasted in Bars
11. Sometimes I end up Picking Those Bar maids.
Hebu nisaidieni jamani, Nimedhamiria kwa moyo mmoja kuacha pombe, sitaki kurudi nyuma. Tatizo nikiingia hata kwenye Bar nikiona Castle ya baridi koo linakauka ghafla, please members advise me.
Ninajua kuna wangi hapa walikua type yangu lakini sasa wamepona, Huu kwangu sasa ni ungonjwa, what Can I just do niachane na hili Zimwi?
Bora umeshitukia..!Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha.