Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha.
Huu ni mwaka wa 15 nakunywa pombe. Siku nne za wiki nakunywa angalau bia 4 kama sio tano yaani heineken =4*300*4 = 48,000.
Siku tatu ambazo ni weekend nakunywa bia 10 mpaka 12 Heineken = 10*300*3 = 90,000.
Kwa hiyo kwa wiki nakunywa minimum 138,000 sasa mwaka una wiki 52 = 138,000*52=7,176,000
Kwa miaka 15 nimekuwa nikinywa = 15*7,176,000=107,640,000. Kwa hiyo kiwango cha chini nilichotumia kwenye pombe mpaka sasa ni 107,640,000/=.
Hapa sijajumlisha na zile offer za akina Aisha, Mwajuma, Jane, Mary, Frnki nk. kwasababu mimi ni mkarimu sana kwenye kuwapa offers lets say nimeshatoa offer kama 1/4 ya nilichotumia mimi ambayo itakua ni sawa na 107,640,000/4 = 26,910,000.
Jumla ya matumizi yangu kwenye ulevi ni 107,640,000+26,910,000 = 134,550,000.
Kwaheri pombe.
Enough is enough.