Kuanzia leo naacha kutumia fb rasmi mpaka nitakapotua nchini kwangu..

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Habari za majukumu wakuu...

Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu..

Nimeamua kuacha kuitumia fb kwa sababu zifutazo...

Inanishawishi kupiga punyeto

Nasema hivi kwakua nadate na wasichana wengi bila mafanikio kwasababu ya umbali. Na pia sura zao naziona halisi, sasa linapokuja suala la charting najikuta naishiwa pozi mpaka nachuruzika kunako.. Kwa kukosa kufanya mapenzi mda mrefu.

Nimeanza kuwakwaza watu bila kujua sababu

Kuna vitu kadha wa kadha kila ninapopost kuna watu vinawakera bila kunambia sababu.. Utakuta kwamfano nimepost dola ya kimarekani basi watu wengine hunishambulia kwamba nawaonesha wao kisa sana njaa. Nabaki kujiuliza ina maana nisifanye vitu vyangu kumbe watu vinawakera.. Sasa nataka nisiwakere niwaache huko huko na amani maana naweza kumjibu mtu vibaya na sihulka yangu.

Sitaki niharibu ndoa za watu

Kuna wadada kama watatu nakua nachat nao sana tena sana na hawawezi kukaa kwa siku wasinitafute utafikiri nimechangiwa nao.
Sasa suala hilo kwa upande wao sawa sio shida sana, tatizo ni upande wangu wadada hao wakijisahau na kuacha sim wazi siku zikionekana chatting zangu na sura si jamaa watakuja kunisaka kwa mbwa mkali ?

Napunguza mlolongo wa wanawake ambao wameshanizowea sana

Imefikia kipindi nashindwa hata nichaguwe yupi maana ninao wengi mpaka wengine nimeshawasahau.. Na pia ni njia moja wapo ya kupunguza anasa na ahadi fake.. Maana nilishawaahidi wengi kuonana nao pindi nikirudi. Sitaki nifikie huko kudanganya sio kuzuri ntapenda wangapi?

Kwa kumalizia nimerudi nyumbani rasmi jf ambako kuna sura fake naamini huku ntakua salama kwa yote niliyoorodhesha hapo.
Nawatakiwa siku njema.
 
hahaa mbona US kuna watoto wazuri wa kila taifa bado unakomaa na wa FB/digital girls.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom