Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia
"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi!
"
Unashtuka
.... Una muuliza kulikoni?
Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako
"
Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino
Daaah

"Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi!
"Unashtuka
.... Una muuliza kulikoni?
Anakujibu: "Sorry Sio Sms yako
"Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino
Daaah


