Kuanzia leo Kubet basi, nastaafu rasmi

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.

Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.

Naomba mniombee wadau
 
Blaza kubet kama kilimo tu we endelea kupalilia shamba lako mavuno yanakuja soon kka as tutavuna mpunga kuanzia weekend hii mpka may uko 2024 kka usiache
 
Pole Sana

images (22).jpeg
 
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.

Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.

Naomba mniombee wadau
ACHA uoga wewe, kesho Epl inaanza
Mpe man city win weka million 5 kwa mikeka kumi ya laki Tano Tano
 
ukweli ni kwamba huu mchezo una uraibu wa uongo na kufeki pia, mtu hajala mwezi nzima anaanza kujifunz uongo kwamba amepiga piga ili kuficha aibu.

kuna ofisi niliwahi kufungua niliweza kushika simu za hawa watu wengi kiukweli history inaonyesha wanapigwa sana ila usoni wanakuambia wanakula.

kifupi huu mchezo wengi wnachokula huwa hakizidi nusu ya walichoweka tangu waanze kubeti.

wanaopiga wapo ila wachache sana mithiri ya wasanii walioacha shule ili kutoboa kwa njia ya muziki, ukimuona Diamond usihitimishe maana wapo wengi zaidi hali hazieleweki
 
Kweli kabisa
 
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.

Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.

Naomba mniombee wadau
Azzam kakuchania mkeka?
 
Ungemalizia ku bet ka mwisho kwenye ngao ya jamii.
 
Kama jumapili niliweka elfu 25 nikaweka sare game ya man city na arsenal nikaenda kijiweni nikamkuta jamaa mmoja anaichambua ile mechi kwa ufasaha sana huku anadai mancity anashinda sio chini ya goli 4 nikaanza kupatwa na hofu nikakosa raha kabisa
 
Back
Top Bottom