Uchambuzi mzuri sanahii imeznishwa na kulazimishwa na TCRA mahususi kwa ajili ya kumpa favor TTCL.
kwasababu TTCL ni ya serikali, hailipi kodi kama maakpuni binafsi hivyo huduma zao zitakua nafuu sana itawalazimu watumiaji wa mitandao mingine ku-port in TTCL.
sasa si utueleweshe sio umetoa macho tu kama fundi saaHiki ni kitu chakijinga kidogo. Ni time consuming. Nilifanikiwa kuingia traininga yake nikiwa nafanya kazi airtel
Mkuu hiyo namba yako ya voda siyo kwamba ibabadilika kuwa 071....,unahama maxima na namba yako ya Voda ila unabadili Huduma tu za mtandao unaohamia.Hebu Tuambie hapa mfano namba yako ya voda ni 0744000000 unataka kuhama tigo tayar kule tigo kuna mtu ana 0714000000 itakuwaje ww si umeelewa fafanua hapo
Kwa mjini angalau kidogo! sawa, Lakini tatizo TTCL haina Telephone mask za kutosha, utakuta mji mzima mnara mmoja, voda wana minne tigo labda mitatu, airtel mitano sasa TTCL itapataje wateja?hii imeznishwa na kulazimishwa na TCRA mahususi kwa ajili ya kumpa favor TTCL.
kwasababu TTCL ni ya serikali, hailipi kodi kama maakpuni binafsi hivyo huduma zao zitakua nafuu sana itawalazimu watumiaji wa mitandao mingine ku-port in TTCL.
Kitu gani kilikufanya ushindwe kuhama mtandao kama uliona unaibiwa.?Nimefurahi sana nilipopokea ujumbe huu "
Habari kwa umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tarehe.01.03.2017 kwa malezo zaidi piga 100 au tembelea maduka yetu."
Nangojea Kwa hamu na kwa mashamsham siku ifike niwahame!! "Mimi na familia yangu tumejiandaa kuhama; naam!
1. Haiwezekani kiila siku kuibiwa tuuu! Salio linakatwakatwa tuu hovyo hovyo - walah tunahama!
2. haiwezekani mtu ukikosea kutuma Pesa hata utoe vielelezo bado hawakurudishii hata karibu mwezi wanakuzungusha bila kujua kama unaweza ukawa safarini- walah Tunawahama!
3. customer care wapokeaji waongo waongo tuuu- walah tunahama
4. internet yao ipo slowly hadi kero - walah tunahama
5. huduma za kitapeli za BIMA ni kero mtupu - walah tunahama!
6. Vifurushi vidogo bei juuu - sasa niwakati Wa kuwahama!.
Nawapongeza sana tena sana waliobuni njia hii ya kuhama bila kubadili namba, itarejesha adabu Kwa kampuni za simu!
Tutawahama hadi wakome!!!
Wale wale,bora hats hivyo tigo.Mi natumia halotel na vodaAirtel ni afadhari wadau, nimetumia Tigo, nimehamia Airtel siwahi jutia
huyu live it love itKitu gani kilikufanya ushindwe kuhama mtandao kama uliona unaibiwa.?