Kuanzi 1 March tutaweza kuhama mtandao bila ya kubadili namba, Mobile number Portability (MNP)

Hata mimi nashangaa kwenda kupanga foleni na kujaza form kwanini kila mtandao usiwe na namba ya siri popote unabadili kama netiweki ukisumbua hapo hapo unabadili mtandao.
 
Hebu Tuambie hapa mfano namba yako ya voda ni 0744000000 unataka kuhama tigo tayar kule tigo kuna mtu ana 0714000000 itakuwaje ww si umeelewa fafanua hapo
Mkuu hiyo namba yako ya voda siyo kwamba ibabadilika kuwa 071....,unahama maxima na namba yako ya Voda ila unabadili Huduma tu za mtandao unaohamia.
 
hii imeznishwa na kulazimishwa na TCRA mahususi kwa ajili ya kumpa favor TTCL.

kwasababu TTCL ni ya serikali, hailipi kodi kama maakpuni binafsi hivyo huduma zao zitakua nafuu sana itawalazimu watumiaji wa mitandao mingine ku-port in TTCL.
Kwa mjini angalau kidogo! sawa, Lakini tatizo TTCL haina Telephone mask za kutosha, utakuta mji mzima mnara mmoja, voda wana minne tigo labda mitatu, airtel mitano sasa TTCL itapataje wateja?
 
Nimefurahi sana nilipopokea ujumbe huu "
Habari kwa umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tarehe.01.03.2017 kwa malezo zaidi piga 100 au tembelea maduka yetu."

Nangojea Kwa hamu na kwa mashamsham siku ifike niwahame!! "Mimi na familia yangu tumejiandaa kuhama; naam!
1. Haiwezekani kiila siku kuibiwa tuuu! Salio linakatwakatwa tuu hovyo hovyo - walah tunahama!
2. haiwezekani mtu ukikosea kutuma Pesa hata utoe vielelezo bado hawakurudishii hata karibu mwezi wanakuzungusha bila kujua kama unaweza ukawa safarini- walah Tunawahama!
3. customer care wapokeaji waongo waongo tuuu- walah tunahama
4. internet yao ipo slowly hadi kero - walah tunahama
5. huduma za kitapeli za BIMA ni kero mtupu - walah tunahama!
6. Vifurushi vidogo bei juuu - sasa niwakati Wa kuwahama!.
Nawapongeza sana tena sana waliobuni njia hii ya kuhama bila kubadili namba, itarejesha adabu Kwa kampuni za simu!
Tutawahama hadi wakome!!!
 
Kitu gani kilikufanya ushindwe kuhama mtandao kama uliona unaibiwa.?
 
Wakuu habari zenu!!

Nimeona wengi wanasema kuanzia tar.1 march mwaka huu kutakuwa na uwezekano wa kuhama mtandao mmoja kwenda mtandao mwingne bila kubadili namba au lain, yaan lain hiyo hiyo inaweza kuwa voda, tigo,airtel, zantel, halotel, smart,ttcl..

Suala hili linawezekanaje? Mwenye maelezo basi tueleweshane.....
 
Back
Top Bottom