umetumwa na Nape nini kwa maana hana kazi nyingine zaidi ya kuchunguza maisha ya dr slaa sasa apewe yeye hizo posho.1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Hivi huo msemo naona umekufa kibudu kabisa maana siku hizi husikii kiongozi hata mmoja autumie. Lo! ccm wana vutuko sana!Na yule kiongozi wenu wa chama cha magamba aliyewahi kuitwa "mkombozi wa Watanzania" "Chaguo la Mungu" akaingia kwa gia kubwa ya "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" huwa anavumia wapi siku hizi? kwenye mabembea ya Ikulu!?
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
Ukikua utaelewa siasa inafanyika vipi najua kwa sasa ni utoto au huna cha kuchangia umetoa pumba zako ili Nape akuone uvute posho yako. Kimsingi hayo uliyoyasema ndio siasa zenyewe, wananchi wa maeneo hayo ndio watakaojaza kapu la ushindi next election when katiba mpya itakapozuia uchakachuaji the every vote will count. Nyie laleni usingizi na magamba yenu mkijifariji kuwa watanzania ni wajinga watatuchagua bila kuwafikia, mtakuta treni iko kigoma tayariNguvu zao ni za soda tu, na kila siku wanajitahidi kuzua jambo na kisha baada ya siku chache wanasahau na kulianzisha jingine kabla ya lile la mwanzo halijaisha.wanavizia tu mada mitaani na kuikuza. angalia Maandamano nchi nzima yamekwisha kwa ajili ya babu wa Loliondo,Tifu la Arusha limekufa kwa ajili ya Nyamongo, Nyamongo nayo imekufa kwa ajili ya Posho,Posho nayo inakufa kwa kuwa Dr Slaa ameshindwa kuisusa, mada yao mpya ni wabunge na mawaziri kurubuniwa kuhusu madeni ya mashirika ya umma ambayo mh. Zitto yu taabani kulielezea bunge uhujumu huo. Watakoma.
hao unaowalea wote ni wanadhiki naona mzigo wa kulea unakulemea ndo mana unahisi cdm wakichukua nchi padri labda atakusaidia kulea baadhiZiki za watu hunazipima kwa hoja au unazipimeje ? kumbe wewe bado unalelewa na baba ? pole sana , wengine hapa tunalea watu , sasa jiulize wewe unayelelewa na wanaolea nani mwenye dhiki ?
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Tunajua mnaumia sana kuona CDM inafanya vizuri vyuoni.A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke