Miss trinity
Member
- Feb 18, 2014
- 95
- 24
Hili swali kwa sasa co mwafaka jamaa.hukuwa na mtu wa kukusaidia pindi unapoumwa?
Hii jf,
Naombeni msaada wenu .nimeshindwa kulinda biashara yangu kutokana na kuugua
Hapo awali nilikuwa na Duka lenye thamani ya sh.ml.5 nilikuwa nauza vinywaji baridi ,biscuits, juice,bites,cake and luxury items. Nilikuwa nafanya biashara vizuri kabisa coz bites nyingi ni kazi ya mikono yangu.na nilikuwa na wateja wengi sana but sasa hivi nasikia kuchanganyikiwa sana coz biashara imeisha yaani mafriji hayan hata vinywaji mtaji umekufa .
Naombeni ushauri wenu natamani sana kuinuka tena ila mkononi Nina laki 200000 tuuu sijui nifanyaje.
Location ya biashara yangu ni mjini
nilikuwa nae but ndiye aliyenifikisha hapa nilipohukuwa na mtu wa kukusaidia pindi unapoumwa?
Kuanguka na kusimama kwa wafanyabiashara wengi waliofanikiwa LEO kwao lilikuwa ni jambo la kawaida, usiache kumuomba Mungu sawasawa na imani yako. Atakupa kujua wapi ulikosea na wapi ufanye vipi ili biashara yako isimame tena kwa upya. Mungu akupe mwanzo mpya mwema wenye mafanikio[/QUOTEasante sana
Asante sana ntaufanyia kazi ushauri wakoKwa kuwa una ujuzi wa hio biashara na eneo la kazi unalo, na sababu ya mtaji kukata inaeleweka, unakopesheka. Nenda kny benki ndogo watakupa mkopo
Ndiyo hiyo m 5Pole kwa yaliyokukuta, kabla ya ushauri nataka kujua wakati unaanza ulianza na mtaji kiasi gani..
We share the same Vision!Hili swali kwa sasa co mwafaka jamaa.
Hiki ndio kikwazo ulichokuwanacho kwa sasa na ukiweza kukitatua bas bila shaka biashara yako itainuka tena .......pengine ningependa kufahamu alikufikishaje hapo.....samahan lakinnilikuwa nae but ndiye aliyenifikisha hapa nilipo
Nimekuelewa nitafanya hivyoKwa ushauri wangu tumia hio Laki ikurudishie mtaji angalia vitu vyenye mzunguko mkubwa weka dukani mdogo mdogo itazaa mkopo sikushauri uchukue
Asante sanaUsikate tamaa mkuu.