Kuanguka Jengo: Ubora wa Cement Uchunguzwe

Kuanguka Jengo: Ubora wa Cement Uchunguzwe

Mafundi wezi sana wameiba sementi usimuamini fundi hata awe ndugu yako atakuibia tuuuyyy

fundi anataka usimamiaji wa karibu wa mhandisi. bila hilo kufanyika tegemea maafa kama tulivyoshuhudia.
 
Kitaalam ukiondoa siasa nadhani ni miscalculation ya foundation ukisikiliza mashuhuda wanasema jrngo lilianza kutitia which means foundation support ilikuwa poor.
Lack of geotech informations in foundation calculations
 
Sasa wakuu ni cement ipi ambayo ni bora?

Twiga cement inapendekezwa sana kwa majengo makubwa, ila pia ratio kati ya cement na mchanga ina matter regardless unatumia cement gani ...
 
ni kifusi cha mchanga na nondo ndo vinavyoonekana!
Tuache uongo, mbona slab kibao zinaonekana zipo zimeanguka nzima nzima na wala hazijapukutika?

attachment.php

Naamini structural engineer, architect, QS na wakaguzi wa manispaa hawakufanya kazi yao kama inavyotakikana. Kwa nini walishibdwa kutimiza wajibu wao, hilo ndio suala la msingi!
 
Ubora wa Cement iliyptumika kujengea unatia wasi wasi kwa sababu jengo lile lilipukutika zikabakia nondo. Kuna fununu za kiwango hafifu cha ubora wa cement ya RHINO ambayo mwezi February kulitokea hasara kubwa kwa mawakala wa cement baada ya kununua cement isiyo na kiwango cha ubora na bidhaa hiyo haikurudi kiwandani kwa ajili ya marekebisho wala fidia kwa mawakala. Katika eneo la tukio kumekuwepo mifuko ya RHINO CEMENT kuashiria kwamba cement hiyo ilitumika kujengea jengo hilo kabla ya kuanguka kwake. Nadhani kuna haja uchunguzi uanze na ubora wa cement hususani cement ya RHINO CEMENT.

Quality ya cement ni remote issue...tatizo la msingi ni usimamizi. Ujenzi wa ghorofa si lelemama. Kuna mengi sana yanayoanzia wapi jengo litajengwa, design na qualities na quantities zinazohitajika. Kufika hapo unaweza kuona kuwa usimamizi ndio issue na si quality ya material. Kwa maneno mengine usimamizi ukiwepo utagungua kuwa kuna issue ktk qualities na quantities (wizi etc)

Unaweza kuwa na quantity na quality sahihi kama huna usimamizi mzuri (technical) mambo yataharibika tu (mixing ratios, interpretation ya drawings etc). Chukua mfano wa nchi yetu TZ. Tuna resource zote ila tunakosa usimamizi sahihi period.
 
Tuache uongo, mbona slab kibao zinaonekana zipo zimeanguka nzima nzima na wala hazijapukutika?

attachment.php

Kwa picha ninayoiona kwa layman language ni kwamba nguzo zinazobeba jengo chini zilishindwa kuhimili uzito kwa pamoja. Ndio maana jengo limecurve in na kifusi kujaa katikati ya jengo. Tuhuma kubwa ni aidha idadi ya gorofa haiendani na msingi/uwezo wa nguzo kubeba top floor. Au kuna massive design failure ktk floor za juu.
 
Kwa wenzetu wastaarabu waziri mwenye dhamana kwa hili angetafakari nafasi yake. Mpaka sasa sijamsikia waziri wetu akisema chochote.
 
Nakubariana na wewe,nimefanikiwa kukiona Kifusi cha hilo jengo ni as if ni mchanga tu na kokoto,Cement kiduchu! Here two things involved
1.Cement ni poor quality
2.Mafundi wamechakachua kiasi cha cement iliyokuwa inahitajika.Beam ya zege aiwezi kupukutika kama ukuta wa nyumba ya udongo
Yote hii ni Ignorance ya watz na kushabikia uchakachuzi na nahau za tukale wapi ama kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake..tatizo limkute mwenzio bana..likikukuta wewe ndo utajua madhara ya unora hafifu katika viwango..iwe ni madawa,chakula,mafuta,bidhaa za ujenzi,vifaa vya umeme,elimu etc
 
Ivi apa waziri mhusika nani?
Maana yuko kimya au kaenda likizo ya pasaka au usikute yuko bize na issue ya KIGAMBONI
Tz bwana mtu anakuwa na interest tuu pale panapomlipa otherwise wanakupotezea mazima.
Maana mpaka bosi wake alikuwepo yeye jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ubora wa Cement iliyptumika kujengea unatia wasi wasi kwa sababu jengo lile lilipukutika zikabakia nondo. Kuna fununu za kiwango hafifu cha ubora wa cement ya RHINO ambayo mwezi February kulitokea hasara kubwa kwa mawakala wa cement baada ya kununua cement isiyo na kiwango cha ubora na bidhaa hiyo haikurudi kiwandani kwa ajili ya marekebisho wala fidia kwa mawakala. Katika eneo la tukio kumekuwepo mifuko ya RHINO CEMENT kuashiria kwamba cement hiyo ilitumika kujengea jengo hilo kabla ya kuanguka kwake. Nadhani kuna haja uchunguzi uanze na ubora wa cement hususani cement ya RHINO CEMENT.

Salaam!

Wakati mwingine kabla ya kuandika ni vyema kuuliza wataalamu wa sekta husika wakupe walau muhtasari wa hoja husika. Pamoja na kwamba unaona zege kuwa kama mchanga, bado huwezi kusema tatizo ni saruji iliyotumika. Mimi si mtengenezaji wa muuzaji wa saruji, lkn ni mtumiaji wa saruji. Napenda kukuhakikishia kwamba saruji ya RHINO ina ubora unaokubalika.

Kuanguka kwa jengo husika kunaweza kusababishwa na mambo mengi. Haya ni baadhi tu:
1. Poor design
2. Poor specification and selection of materials
3. Poor workmanship, including erratic curing of concrete
4. Poor quality control system
5. Failure by all parties to observe regulations
6. Overloading of the structure
7. Poor supervision of works

Ni vyema wahusika wote, Building team, yaani Client, Architect, Quantity Surveyos, Structural Engineer na Contractor wahojiwe kuhusu kuanguka kwa jengo hilo na kila mmoja aeleze alivyowajibika katika ujenzi wake. Waliotoa vibali pia wanapaswa kuhojiwa na watoe vielelezo vinavyoonesha jinsi walivyofikia uamuzi wa kutoa kibali.

Mwisho: napenda kuweka wazi kwamba, zege linaloonekana dhaifu linaweza kuwa ni kutokana na mshindo wa kuanguka kwa jengo lenyewe. Kama ulifuatilia WTC iliposhambuliwa, jengo lile lilisambaratika kama karatasi wakati lilikuwa jengo la chuma (Steel structure). Kwenye hili hakuna siasa, ni utaalamu unaopaswa kutupatia majibu sahihi. Wanaofanya siasa wakae kando hadi taarifa ya wataalamu itoke. Hakuna haja ya tume, ERB, CRB na AQRB wanao wataalam wa kutosha kufanya kazi hii bila gharama kubwa.
 
Tatizo hapa watu hawaogopi,watakaopewa kazi ya kuchunguza watahongwa ili watoe fair report ambayo haitachukuliwa hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.Nashauri, serikali ingeunda mamlaka independent kwa ajili ya majengo tu na iwajibike moja kwa moja kwenye ofisi ya rais .Pengine pote kwa sasa pameoza kwa rushwa na especially kipindi hiki ambacho tunakaribia uchaguzi wa 2015,kila mtu anafikiria kuiba maana hana uhakika wa nafasi kwa awamu nyingine,hayo ndio madhara ya vyeo vya kuteuliwa na Rais.
 
Salaam!

Wakati mwingine kabla ya kuandika ni vyema kuuliza wataalamu wa sekta husika wakupe walau muhtasari wa hoja husika. Pamoja na kwamba unaona zege kuwa kama mchanga, bado huwezi kusema tatizo ni saruji iliyotumika. Mimi si mtengenezaji wa muuzaji wa saruji, lkn ni mtumiaji wa saruji. Napenda kukuhakikishia kwamba saruji ya RHINO ina ubora unaokubalika.

Kuanguka kwa jengo husika kunaweza kusababishwa na mambo mengi. Haya ni baadhi tu:
1. Poor design
2. Poor specification and selection of materials
3. Poor workmanship, including erratic curing of concrete
4. Poor quality control system
5. Failure by all parties to observe regulations
6. Overloading of the structure
7. Poor supervision of works

Ni vyema wahusika wote, Building team, yaani Client, Architect, Quantity Surveyos, Structural Engineer na Contractor wahojiwe kuhusu kuanguka kwa jengo hilo na kila mmoja aeleze alivyowajibika katika ujenzi wake. Waliotoa vibali pia wanapaswa kuhojiwa na watoe vielelezo vinavyoonesha jinsi walivyofikia uamuzi wa kutoa kibali.

Mwisho: napenda kuweka wazi kwamba, zege linaloonekana dhaifu linaweza kuwa ni kutokana na mshindo wa kuanguka kwa jengo lenyewe. Kama ulifuatilia WTC iliposhambuliwa, jengo lile lilisambaratika kama karatasi wakati lilikuwa jengo la chuma (Steel structure). Kwenye hili hakuna siasa, ni utaalamu unaopaswa kutupatia majibu sahihi. Wanaofanya siasa wakae kando hadi taarifa ya wataalamu itoke. Hakuna haja ya tume, ERB, CRB na AQRB wanao wataalam wa kutosha kufanya kazi hii bila gharama kubwa.

Hapo kwenye blue, you are right!!!. pamoja na kuwa uchunguzi utabainisha chanzo cha hili tatizo lakini ubora wa nondo nao mara nyingi unakuwa ni tatizo. Nondo nyingi zinazozalishwa waga ubora wake uko chini. Nilishawahi kufanya kazi kwenye kiwanda cha nondo (hivi vya wahindi) lakini kuna wakati inashindikana kushusha kiwango cha Carbon (element that determines strength and hardness of steel). Kwa kawaida ili nondo iwe na quality nzuri kwa constructuction purpose inatakiwa carbon iwe chini ya 0.3% wt (approx 0.25 %wt) lakini unakuta wanazalisha nondo zenye carbon zaid ya 0.5 % wt. Kitu wanachofanya ni kuchanganya hizi nondo ambazo hazina ubora na zile zenye ubora. So ubora wa nondo pamoja na kwa inawezekana ikawa siyo chanzo lakini lazima uchunguzwe.
 
Ma contractor feki wengi ni wanachama wa ccm, ndio maana wanajenga bila ukaguzi wowote kwa kuwa wanajua ukiwa mwanachama ccm na ukaboronga kwenye kazi kama hizo haupati madhara yoyote kwani kwenye kampeni ndio wagawa t-shirt
 
Back
Top Bottom